Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hata mimi simpendi ati
Na ndio anafanyaga nisiamini upinzani,,niendelee kula mbogamboga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi simpendi ati
Zito ajue Mbowe ana ndugu wa kuzaliwa, mke, watoto (watu wazima), wana ukoo na Nk. Ambao wana uamuzi wa kuchukua hatua nzuri kabla hata ya chama chake.Kwamba Zitto haoni sio tu jitihada za kumtoa Mbowe jela, bali harakati nzima za kudai haki zinazofanywa na CDM tangu 1992?. Ni kitu gani bado CDM kama chama hawajafanya ili kuikomboa TZ?
"Tumekabidhi nchi mikononi kwa washamba na malimbukeni"Hata mimi simpendi ati
Na ndio anafanyaga nisiamini upinzani,,niendelee kula mbogamboga.
Wakati yeye mwenyewe🙂"Tumekabidhi nchi mikononi kwa washamba na malimbukeni"
Nyepesi Kabwela, Sep 20, 2017
View attachment 2112412
"Mwezi uliopita nikiwa mazikoni Mkuranga nilikutana na kijana aliyetumwa na Magufuli kwenda kuchoma moto mikorosho iliyopo kwenye ardhi yangu huko Mtwara.Wakati yeye mwenyewe🙂
Kwa hiyo Zitto anatakachadema wakavu je Gereza ili wamtoe MBOWE?Zitto Kabwe kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa jela.
Zitto anasema kuwa CHADEMA wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!
Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa CHADEMA wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe jela?
My opinion!
Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe haiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona Chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!
Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?
Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?
Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?
=========
Zitto Kabwe amesema:
"Sakata la Freeman ni moja kati ya vitu vinavyoniumiza sana, Freeman amenilea, ninavyomuona yupo jela simuoni kama Mwenyekiti wa CHADEMA, namuona kama Kaka yangu, nimefanya jitihada kuhakikisha anatoka Jela na kila nilichofanya kina ruhusa ya Mbowe, nimeenda Jela na nimeongea nae kumuambia nataka kufanya hivi akaniambia fanya"
"Wao wanamuona Mwenyekiti wao yupo Jela Mimi namuona Kaka yangu yupo Jela huo ndio utofauti, Wahariri waulizeni wenzetu wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe nje ya Jela, Mimi naamini tulichofanya Dodoma (kumuomba Rais Samia amsamehe Mbowe) isingeleta kelele zilizopigwa, leo tungekuwa na Mbowe nje, naamini hivyo"
"Mwezi uliopita nikiwa mazikoni Mkuranga nilikutana na kijana aliyetumwa na Magufuli kwenda kuchoma moto mikorosho iliyopo kwenye ardhi yangu huko Mtwara.
Alikuja kuniomba radhi kwa tukio lile. Akanieleza pia kuwa nyumba yangu hapa kigoma ilichomwa moto na hao hao. Nilimsamehe"
Nyepesi bwana 🤣🤣
Mjinga tu"Mwezi uliopita nikiwa mazikoni Mkuranga nilikutana na kijana aliyetumwa na Magufuli kwenda kuchoma moto mikorosho iliyopo kwenye ardhi yangu huko Mtwara.
Alikuja kuniomba radhi kwa tukio lile. Akanieleza pia kuwa nyumba yangu hapa kigoma ilichomwa moto na hao hao. Nilimsamehe"
Nyepesi bwana 🤣🤣
"Najuta kuzaliwa Tanzania"Mjinga tu
Kwanza hata mikorosho hakua nayo huko mtwara.
Magufuli aache kuchoma nyumba za wanasiasa wapinzani wa kweli akina Mbowe eti aende kuchoma nyumba yake Kigoma!
Sasa si ahamie Burundi tu,mengi yasiwe mambo😂"Najuta kuzaliwa Tanzania"
Nyepesi Kabwela; 11 May 2017
Kule hatapata uchawaSasa si ahamie Burundi tu,mengi yasiwe mambo😂
🤣🤣🤣🤣Kule hatapata uchawa
Kwa hiyo Zito anataka kutuambia kuwa aliambiwa kuwa haachiwi kwa vile watu walipiga kelele? Huo uhakika wa kuwa watu wasingepiga kelele angekuwa nje anautoa wapi?Zitto Kabwe kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa jela.
Zitto anasema kuwa CHADEMA wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!
Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa CHADEMA wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe jela?
My opinion!
Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe haiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona Chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!
Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?
Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?
Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?
=========
Zitto Kabwe amesema:
"Sakata la Freeman ni moja kati ya vitu vinavyoniumiza sana, Freeman amenilea, ninavyomuona yupo jela simuoni kama Mwenyekiti wa CHADEMA, namuona kama Kaka yangu, nimefanya jitihada kuhakikisha anatoka Jela na kila nilichofanya kina ruhusa ya Mbowe, nimeenda Jela na nimeongea nae kumuambia nataka kufanya hivi akaniambia fanya"
"Wao wanamuona Mwenyekiti wao yupo Jela Mimi namuona Kaka yangu yupo Jela huo ndio utofauti, Wahariri waulizeni wenzetu wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe nje ya Jela, Mimi naamini tulichofanya Dodoma (kumuomba Rais Samia amsamehe Mbowe) isingeleta kelele zilizopigwa, leo tungekuwa na Mbowe nje, naamini hivyo"
Zitto ana akili za ziada., nimefahamu sana, "alienda jela na kumshauri Mbowe kama Mbowe kumuombea msamaha kwa rais na Mbowe alibariki" nadhan hapa ndio pa kushika na ndipo pa kuanzia na kwa kauli hii sijaona undumila kuwili wa Zitto kwenye hili na babu duni alisema wanaofanya Mbowe aendelee kukaa gerezani wako ulaya wanakula kuku., Zitto ameona hii kesi itam-cost sana anayemwita kaka yake. kuna wakati una sarenda kumdhibiti adui kwa njia nyengine.Zitto Kabwe kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa jela.
Zitto anasema kuwa CHADEMA wanamuona Mbowe kama mwenyekiti yeye ana muona kama kaka yake ambaye yuko gerezani!
Zitto ametaka wahariri wawatafute viongozi wa CHADEMA wawaulize wamefanya jitihada gani kumtoa Mbowe jela?
My opinion!
Zitto anaona wazi kuwa njia ya Chadema kutumia mahakama kumpambania Mbowe haiwezi zaa matunda kamwe na ana hakika haitozaa na ndio maana anaona njia ya kumuombea msamha kwa Rais ndio njia bora na anawaona Chadema hawafanyi lolote liwezekanalo kumtoa Mbowe!
Zitto anaona Mbowe amefanya kosa tofauti na sisi tunavyo ona? Zitto anajua zaidi kuzidi sisi?
Zitto anawezaje kujitenga na hoja ya kutaka kutumika na CCM kama daraja la kumtafutia Rais umaarufu....kwa kutengeneza tatizo na kulitatua na kujipigia makofi?
Zitto ni kweli anaamini Mbowe ni gaidi?
=========
Zitto Kabwe amesema:
"Sakata la Freeman ni moja kati ya vitu vinavyoniumiza sana, Freeman amenilea, ninavyomuona yupo jela simuoni kama Mwenyekiti wa CHADEMA, namuona kama Kaka yangu, nimefanya jitihada kuhakikisha anatoka Jela na kila nilichofanya kina ruhusa ya Mbowe, nimeenda Jela na nimeongea nae kumuambia nataka kufanya hivi akaniambia fanya"
"Wao wanamuona Mwenyekiti wao yupo Jela Mimi namuona Kaka yangu yupo Jela huo ndio utofauti, Wahariri waulizeni wenzetu wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe nje ya Jela, Mimi naamini tulichofanya Dodoma (kumuomba Rais Samia amsamehe Mbowe) isingeleta kelele zilizopigwa, leo tungekuwa na Mbowe nje, naamini hivyo"
Kama binadamu, Mtanzania Mzalendo, sina shida na jitihada za Zitto kumtoa FAM gerezani. Naomba hili lifanikiwe huku nikiamini kuwa Kaka yangu FAM SIYO GAIDIZitto Kabwe kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa jela.