Zitto Kabwe: Wahariri waulizeni CHADEMA wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe jela

Kwamba Zitto haoni sio tu jitihada za kumtoa Mbowe jela, bali harakati nzima za kudai haki zinazofanywa na CDM tangu 1992?. Ni kitu gani bado CDM kama chama hawajafanya ili kuikomboa TZ?
Zito ajue Mbowe ana ndugu wa kuzaliwa, mke, watoto (watu wazima), wana ukoo na Nk. Ambao wana uamuzi wa kuchukua hatua nzuri kabla hata ya chama chake.
 
Hakuna kuomba msamaha kwa kesi la kutengeneza, na Zitto badala ya kushambulia wabambikaji anashambulia CHADEMA, Zito kweli kaishiwa anajitia aibu tuu, njaa kitu cha ovyo sana
 
Wakati yeye mwenyewe🙂
"Mwezi uliopita nikiwa mazikoni Mkuranga nilikutana na kijana aliyetumwa na Magufuli kwenda kuchoma moto mikorosho iliyopo kwenye ardhi yangu huko Mtwara.

Alikuja kuniomba radhi kwa tukio lile. Akanieleza pia kuwa nyumba yangu hapa kigoma ilichomwa moto na hao hao. Nilimsamehe"


Nyepesi bwana 🤣🤣
 
Kwa hiyo Zitto anatakachadema wakavu je Gereza ili wamtoe MBOWE?
 
Mjinga tu
Kwanza hata mikorosho hakua nayo huko mtwara.

Magufuli aache kuchoma nyumba za wanasiasa wapinzani wa kweli akina Mbowe eti aende kuchoma nyumba yake Kigoma!
 
Mjinga tu
Kwanza hata mikorosho hakua nayo huko mtwara.

Magufuli aache kuchoma nyumba za wanasiasa wapinzani wa kweli akina Mbowe eti aende kuchoma nyumba yake Kigoma!
"Najuta kuzaliwa Tanzania"

Nyepesi Kabwela; 11 May 2017
 
Kwa hiyo Zito anataka kutuambia kuwa aliambiwa kuwa haachiwi kwa vile watu walipiga kelele? Huo uhakika wa kuwa watu wasingepiga kelele angekuwa nje anautoa wapi?

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Ni ujinga kuufata ushauri wa Zito.

Kama kuna mahakama sasa raisi anaingiaje hapo, basi itakua ni kasumba kwamba kesi za wanasiasa kuamriwa na raisi moja kwa moja, na hapo ni kukiuka katiba mnayoipigania kua ifuatwe.

Zitto hayuko sahihi, wacha inyeshe tujue panapovuja.
 
Kwa hiyo Zito hata haoni jitihada za mawakili kuwa outshine Mashahidi na kuonesha matundu ya ushahidi wao kuwa ni jitihada za kutaka kumtoa? Hili ni jambo la kisheria na mapambano ya kisheria yanaendelea, yeye kama anaona mdomo wake nje ya mahakama unatija kwa alivyoomba siku ile anhshatoka basi. Anataka mawakili wakimbie mahakama halafu watu waje kuongea tu na kulialia nje basi kesi iishe? Hili jambo liende kama lilivyo na litakuja kuwa rejea kwa vizazi vingi vijavyo.

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Zitto ana akili za ziada., nimefahamu sana, "alienda jela na kumshauri Mbowe kama Mbowe kumuombea msamaha kwa rais na Mbowe alibariki" nadhan hapa ndio pa kushika na ndipo pa kuanzia na kwa kauli hii sijaona undumila kuwili wa Zitto kwenye hili na babu duni alisema wanaofanya Mbowe aendelee kukaa gerezani wako ulaya wanakula kuku., Zitto ameona hii kesi itam-cost sana anayemwita kaka yake. kuna wakati una sarenda kumdhibiti adui kwa njia nyengine.

Chadema mawazo ya tundu lissu siku zote ndio msimamo wa chama chao, lakini tundu lissu kuna wakati anakwanga sana kwenye issue za kisiasa na tundu lissu sio mzuri sana kwenye siasa yeye ni mwanasheria tu, Ndio mana kama mulifuatilia maoni ya Tundu Lissue kuhusu sakata la Ndugai hivi karibuni alitofautiana sana na wenzake ambao ni wazuri kisiasa akina Mchungaji Pita Msigwa na Heche
 
Kama binadamu, Mtanzania Mzalendo, sina shida na jitihada za Zitto kumtoa FAM gerezani. Naomba hili lifanikiwe huku nikiamini kuwa Kaka yangu FAM SIYO GAIDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…