GE2025 Zitto Kabwe: Wanaotaka tusishiriki Uchaguzi wamechanganyikiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe, ameendelea kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa mwaka 2025 ili kurejesha nguvu ya wananchi bungeni, akisema kutoshiriki uchaguzi ni sawa na kukubali kuendelea kuwepo kwa Bunge kibogoyo lisilo na uwezo wa kuisimamia Serikali.

Akihutubia siku ya Jumatatu Julai 7, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songea, mkoani Ruvuma, katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto amesema sheria kama ile ya Usalama wa Taifa ziliweza kupitishwa kwa sababu ya ukosefu wa wabunge waliokomaa kimtazamo na kisheria.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika hotuba yake, Zitto amegusia pia ongezeko la vitendo vya utekaji vinavyodaiwa kufanyika sehemu mbalimbali nchini huku akilitaja tukio la kutekwa kwa Mdude Nyagali na wengine kama ushahidi wa hali mbaya ya usalama na haki za binadamu.

Amewatahadharisha wananchi dhidi ya wito wa kutoshiriki uchaguzi kutoka kwa baadhi ya wanasiasa wanaodaiwa kukata tamaa ya mabadiliko, akisema wito huo ni hatari na una manufaa kwa CCM pekee.

sijamuelewa huyo zito kabwe, anatofautisha vp usalama wa taifa na polisi? kwani polisi kuna ambao hawavai magwanda pia na wanaofanya kazi za uchunguzi wanaweza kukivamia muda wowote na kukushika bila sare kama wanakuhitaji isitoshe wote bosi wao ni mmoja waziri wa mambo ya ndani hivyo sidhani kama ni sahihi kusema kwamba usalama wa taifa hawaruhusiwi kukamata kwani polisi pia kuna watu wa usalama ambao hawavai magwanda …
 
Kabwe amechanganyikiwa kabla ya uchaguzi wenyewe . Huyu anajua fika chanzo cha kuanzishwa ACT SEMA tu wazanzibar wameucheza mchezo vizuri
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe, ameendelea kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa mwaka 2025 ili kurejesha nguvu ya wananchi bungeni, akisema kutoshiriki uchaguzi ni sawa na kukubali kuendelea kuwepo kwa Bunge kibogoyo lisilo na uwezo wa kuisimamia Serikali.

Akihutubia siku ya Jumatatu Julai 7, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songea, mkoani Ruvuma, katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto amesema sheria kama ile ya Usalama wa Taifa ziliweza kupitishwa kwa sababu ya ukosefu wa wabunge waliokomaa kimtazamo na kisheria.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika hotuba yake, Zitto amegusia pia ongezeko la vitendo vya utekaji vinavyodaiwa kufanyika sehemu mbalimbali nchini huku akilitaja tukio la kutekwa kwa Mdude Nyagali na wengine kama ushahidi wa hali mbaya ya usalama na haki za binadamu.

Amewatahadharisha wananchi dhidi ya wito wa kutoshiriki uchaguzi kutoka kwa baadhi ya wanasiasa wanaodaiwa kukata tamaa ya mabadiliko, akisema wito huo ni hatari na una manufaa kwa CCM pekee.

Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe, ameendelea kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa mwaka 2025 ili kurejesha nguvu ya wananchi bungeni, akisema kutoshiriki uchaguzi ni sawa na kukubali kuendelea kuwepo kwa Bunge kibogoyo lisilo na uwezo wa kuisimamia Serikali.

Akihutubia siku ya Jumatatu Julai 7, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songea, mkoani Ruvuma, katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto amesema sheria kama ile ya Usalama wa Taifa ziliweza kupitishwa kwa sababu ya ukosefu wa wabunge waliokomaa kimtazamo na kisheria.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika hotuba yake, Zitto amegusia pia ongezeko la vitendo vya utekaji vinavyodaiwa kufanyika sehemu mbalimbali nchini huku akilitaja tukio la kutekwa kwa Mdude Nyagali na wengine kama ushahidi wa hali mbaya ya usalama na haki za binadamu.

Amewatahadharisha wananchi dhidi ya wito wa kutoshiriki uchaguzi kutoka kwa baadhi ya wanasiasa wanaodaiwa kukata tamaa ya mabadiliko, akisema wito huo ni hatari na una manufaa kwa CCM pekee.

Screenshot_20250615-124601~2.png
 
Wazanzibari sio wajinga nawajua vizri sana na Rafiki zangu pia , Kabwe alijaa kwenye 18 na kutiki, atulie tu,hana jipya ACT ipo chini ya ndugu zangu Wazanzibari hawachekagi na na nyani, wakishusha Tanga wanashusha kweli
 
Huyu msaliti alishapoteza ushawishi wa kisiasa siku nyingi sana, nadhani yeye ndio kachanganyikiwa tena sio kidogo. Mpuuzi huyu hana mchango wowote ule wa maana kwenye taifa hili kwa sasa zaidi ya kulamba asali. Yeye akae atulie ale hizo hela alizopewa na serikali ya samia kimya kimya hili aendelee kuufyata mjinga huyu.
 
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe, ameendelea kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa mwaka 2025 ili kurejesha nguvu ya wananchi bungeni, akisema kutoshiriki uchaguzi ni sawa na kukubali kuendelea kuwepo kwa Bunge kibogoyo lisilo na uwezo wa kuisimamia Serikali.

Akihutubia siku ya Jumatatu Julai 7, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songea, mkoani Ruvuma, katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto amesema sheria kama ile ya Usalama wa Taifa ziliweza kupitishwa kwa sababu ya ukosefu wa wabunge waliokomaa kimtazamo na kisheria.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika hotuba yake, Zitto amegusia pia ongezeko la vitendo vya utekaji vinavyodaiwa kufanyika sehemu mbalimbali nchini huku akilitaja tukio la kutekwa kwa Mdude Nyagali na wengine kama ushahidi wa hali mbaya ya usalama na haki za binadamu.

Amewatahadharisha wananchi dhidi ya wito wa kutoshiriki uchaguzi kutoka kwa baadhi ya wanasiasa wanaodaiwa kukata tamaa ya mabadiliko, akisema wito huo ni hatari na una manufaa kwa CCM pekee.

Kinyonga hujulikana kwa rangi zake
 
Wamemwaidi kiti Cha ubunge Kigoma mjini ndio maana anatukana wengine. Sijui maalim alifikiria Nini kwenda ACT.
 
Hii ndio shida ya kuwa na vyama ambavyo havina malengo, so yeye anahisi ataweza kushinda mbele ya CCM wezi wa kura???
 
Mi hananishangaza uyu musanii. Akiri ake aina akiri jamani. Hasa hatapigaje kula akati akuna aki. Kweri uyu yupo kimasrai. Herimu yetu imetufikisha apa.

Haareruya
 
Back
Top Bottom