Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe, ameendelea kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa mwaka 2025 ili kurejesha nguvu ya wananchi bungeni, akisema kutoshiriki uchaguzi ni sawa na kukubali kuendelea kuwepo kwa Bunge kibogoyo lisilo na uwezo wa kuisimamia Serikali.
Akihutubia siku ya Jumatatu Julai 7, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songea, mkoani Ruvuma, katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto amesema sheria kama ile ya Usalama wa Taifa ziliweza kupitishwa kwa sababu ya ukosefu wa wabunge waliokomaa kimtazamo na kisheria.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika hotuba yake, Zitto amegusia pia ongezeko la vitendo vya utekaji vinavyodaiwa kufanyika sehemu mbalimbali nchini huku akilitaja tukio la kutekwa kwa Mdude Nyagali na wengine kama ushahidi wa hali mbaya ya usalama na haki za binadamu.
Amewatahadharisha wananchi dhidi ya wito wa kutoshiriki uchaguzi kutoka kwa baadhi ya wanasiasa wanaodaiwa kukata tamaa ya mabadiliko, akisema wito huo ni hatari na una manufaa kwa CCM pekee.

Kinyonga hujulikana kwa rangi zakeKiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo , Zitto Kabwe, ameendelea kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa mwaka 2025 ili kurejesha nguvu ya wananchi bungeni, akisema kutoshiriki uchaguzi ni sawa na kukubali kuendelea kuwepo kwa Bunge kibogoyo lisilo na uwezo wa kuisimamia Serikali.
Akihutubia siku ya Jumatatu Julai 7, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Songea, mkoani Ruvuma, katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto amesema sheria kama ile ya Usalama wa Taifa ziliweza kupitishwa kwa sababu ya ukosefu wa wabunge waliokomaa kimtazamo na kisheria.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika hotuba yake, Zitto amegusia pia ongezeko la vitendo vya utekaji vinavyodaiwa kufanyika sehemu mbalimbali nchini huku akilitaja tukio la kutekwa kwa Mdude Nyagali na wengine kama ushahidi wa hali mbaya ya usalama na haki za binadamu.
Amewatahadharisha wananchi dhidi ya wito wa kutoshiriki uchaguzi kutoka kwa baadhi ya wanasiasa wanaodaiwa kukata tamaa ya mabadiliko, akisema wito huo ni hatari na una manufaa kwa CCM pekee.
Hana akil huyu dogo that is why he is ugly faceZitto kashakula mpunga ni Agent mzuri sana huyu mwamba..