GE2025 Zitto Kabwe: Wanaotaka tusishiriki Uchaguzi wamechanganyikiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
BWEKA hataki mabadiliko anajua mabadiko yakifanyika hana nafasi CDM wata shine nakuonekana wamefanikiwa

No reform No Election
 
Point, sasa hao nyumbu wa NRNE wacha wahangaike na upumbavu wao
 
Namuliza Bwana nyepesi, miaka mi5 iliyopita hakushiriki uchaguzi? Na mbona hakufanikiwa kupata mbunge hata m1 kwnye bngu la Tanganyika. Watanganyika sio wajinga aendele kula posho za kueneza propagandaza Ccm..Mimi nasema No Reforms No Election October 2025
 

Ni kweli hujamuelewa. Anasema hivi; sheria ilikuwa haiwaruhusu TISS kukukamata wewe. Polisi wasiokuwa na magwanda watakukamata wewe kwa kujitambulisha kwa majina yao, kituo chao cha kazi, kukuonyesha kitambulisho cha kazi, watakwambia kosa lako, Kisha wanakukamata.
 
Haahaa zitto aweke akiba ya maneno, baada ya uchaguzi hatutaki kusikia ameibiwa kura Wala kura feki..
 

lkn mbona sasa fbi ambao ni kama tiss wa USA wanakamata wakati anasema dunia nzima hakuna nchi ambayo usalama wa taifa wanakamata? fbi wana arrest watu na wako (fbi) armed, hauoni kama aidha hayuko informed vizuri khs tiss na majukumua yao au anapotosha kwa makusudi kwani kuna thin line kati ya tiss na jeshi la polisi kwa maoni yangu …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…