GE2025 Zitto Kabwe: Wasemaji wa Kigoma wakiwa wengi, Bungeni mimi nitapanda juu

GE2025 Zitto Kabwe: Wasemaji wa Kigoma wakiwa wengi, Bungeni mimi nitapanda juu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametoa wito kwa wananchi wa jimbo la Buhigwe kumchagu Mgombea ubunge wa jimbo hilo Frank Ruhasha ili mkoa wa Kigoma uwe na wabunge wengi jambo ambalo anaamini litamfanya kuacha kuwaza ubunge badala yake afikirie kugombea Urais mbeleni.

"halafu hawa wakina Frank wakija bungeni tukapata wasemaji wa kutosha wa Kigoma si ndiyo na mimi napata nafasi ya kupanda pale juu nikiwa na hawa wakina Frank wananisaidia mimi nitawaza mambo makubwa zaidi" ameongeza Zitto
 
Zitto maana yake akili nzito lakini huyu akili nyepesi mbona🤣😂
 
Anaongea mambo mepesi sana sikuhizi.
Mwili wa kijana mtu mzima, akili ya mzee Wasira.
 
Back
Top Bottom