Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwa hiyo anafikiri waliogomea kushiriki uchaguzi hawajui haya yote anayosema yeye??!Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi.
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Tukuyu, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya siku ya Jumamosi, Zitto amesema ingawa wananchi wamechoshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupinga kwao hakutakuwa na maana yoyote iwapo hawatajipanga kushiriki katika uchaguzi kwa ajili ya kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura.
Zitto amesema kuwa ni wazi Watanzania wamechoshwa na vitendo vya wizi wa kura, upuuzwaji wa sauti zao na ufisadi wa kisiasa unaodhoofisha demokrasia. Hata hivyo, ameonya kuwa suluhisho la hayo yote siyo kukaa nyumbani au kususia uchaguzi bali kupambana kupitia ushiriki wa moja kwa moja kwenye uchaguzi.
Katika hotuba yake, Zitto ameonya wale wanaoamini kuwa mabadiliko yanaweza kuletwa bila kushiriki kwenye mchakato wa uchaguzi.
Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuwa na wagombea kutoka vyama mbadala ambao wataweza kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi, huku akisema chama kinachoshiriki uchaguzi ndicho kinachopewa nafasi ya kuleta mabadiliko, si kile kinachokaa pembeni.
Bado tunajutia uamuzi wetu wa kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa, 2024 tungejua tungelinda kura zetu majumbani maana mliotuahidi kuzilinda mliingia mitini! maFISIEMU wakajinafasiKiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi.
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Tukuyu, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya siku ya Jumamosi, Zitto amesema ingawa wananchi wamechoshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupinga kwao hakutakuwa na maana yoyote iwapo hawatajipanga kushiriki katika uchaguzi kwa ajili ya kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura.
Zitto amesema kuwa ni wazi Watanzania wamechoshwa na vitendo vya wizi wa kura, upuuzwaji wa sauti zao na ufisadi wa kisiasa unaodhoofisha demokrasia. Hata hivyo, ameonya kuwa suluhisho la hayo yote siyo kukaa nyumbani au kususia uchaguzi bali kupambana kupitia ushiriki wa moja kwa moja kwenye uchaguzi.
Katika hotuba yake, Zitto ameonya wale wanaoamini kuwa mabadiliko yanaweza kuletwa bila kushiriki kwenye mchakato wa uchaguzi.
Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuwa na wagombea kutoka vyama mbadala ambao wataweza kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi, huku akisema chama kinachoshiriki uchaguzi ndicho kinachopewa nafasi ya kuleta mabadiliko, si kile kinachokaa pembeni.
Mwache atawajua ccm anafikiri wana urafikiJamaa mbona anatumia nguvu kulazimisha watu wakapige kura??
Hapa kuna namna pengine ni kampeni ili ionekane watu wengi walishirikiJamaa mbona anatumia nguvu kulazimisha watu wakapige kura??
Wanajua ila nikatika namna yakukumbushana,Ni kama wale wanaowaambia kua bila reform hakuna uchaguzi,unafikiri wanaowaambia wanakua hawajui hayo?.Hakuna kigeni ila lazima watu waambiane katika namna nzuri.Na katika hili zitto yuko sahihi kwasababu mifano ya chaguzi zinazotolewa mifano ziliharibiwa na magufuli ambaye kwasasa hayupo na aliyepo sasa sioni akiwa na nia yakuingilia mchakato kwa kiwango kile.Kwa hiyo anafikiri waliogomea kushiriki uchaguzi hawajui haya yote anayosema yeye??!
Watu kama Zito ni watu wa hovyo sana.Kwa hiyo anafikiri waliogomea kushiriki uchaguzi hawajui haya yote anayosema yeye??!
Nini kilichobadilika katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 ambao Magufuli hakuwepo??Wanajua ila nikatika namna yakukumbushana,Ni kama wale wanaowaambia kua bila reform hakuna uchaguzi,unafikiri wanaowaambia wanakua hawajui hayo?.Hakuna kigeni ila lazima watu waambiane katika namna nzuri.Na katika hili zitto yuko sahihi kwasababu mifano ya chaguzi zinazotolewa mifano ziliharibiwa na magufuli ambaye kwasasa hayupo na aliyepo sasa sioni akiwa na nia yakuingilia mchakato kwa kiwango kile.
Hahaha......You can fool some people for some time.Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi.