Nimejiandikisha sm minazini kurasini . Sitapiga kura mtu ajaribu kufanya huu ujinga aone. Nafuatilia kwa karibu sanaTutawasaidia kupiga kura, namba zao za kadi ya kupigia kura tunazo
Kumbuka mgombea wa chama twawala ni mwenzetu katika imani na jamaa anajulikana linapokuja swala la imani huwa anatetea kwa nguvu na akili zake zoteJamaa mbona anatumia nguvu kulazimisha watu wakapige kura??
Waliokataa uchaguzi bila reforms wapo ma mamilion ya wananchi wale ambao wanaenda kwenye uchaguzi wapo na baadhi ya wanachama wao maana sio wote wanachama wao wanakubali kwenda kwenye uchaguzi bila reform, Zitto anazeeka vibaya , na mbaya zaidi wema sepetu angekua bado kijana tungempa kazi ya kumtuliza Zitto hata kwa kumwangalia usoniKiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi.
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Tukuyu, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya siku ya Jumamosi, Zitto amesema ingawa wananchi wamechoshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupinga kwao hakutakuwa na maana yoyote iwapo hawatajipanga kushiriki katika uchaguzi kwa ajili ya kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura.
Zitto amesema kuwa ni wazi Watanzania wamechoshwa na vitendo vya wizi wa kura, upuuzwaji wa sauti zao na ufisadi wa kisiasa unaodhoofisha demokrasia. Hata hivyo, ameonya kuwa suluhisho la hayo yote siyo kukaa nyumbani au kususia uchaguzi bali kupambana kupitia ushiriki wa moja kwa moja kwenye uchaguzi.
Katika hotuba yake, Zitto ameonya wale wanaoamini kuwa mabadiliko yanaweza kuletwa bila kushiriki kwenye mchakato wa uchaguzi.
Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuwa na wagombea kutoka vyama mbadala ambao wataweza kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi, huku akisema chama kinachoshiriki uchaguzi ndicho kinachopewa nafasi ya kuleta mabadiliko, si kile kinachokaa pembeni.
Dogo analeta ucho_ko kwenye mambo ya msingi dah!Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi.
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Tukuyu, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya siku ya Jumamosi, Zitto amesema ingawa wananchi wamechoshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupinga kwao hakutakuwa na maana yoyote iwapo hawatajipanga kushiriki katika uchaguzi kwa ajili ya kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura.
Zitto amesema kuwa ni wazi Watanzania wamechoshwa na vitendo vya wizi wa kura, upuuzwaji wa sauti zao na ufisadi wa kisiasa unaodhoofisha demokrasia. Hata hivyo, ameonya kuwa suluhisho la hayo yote siyo kukaa nyumbani au kususia uchaguzi bali kupambana kupitia ushiriki wa moja kwa moja kwenye uchaguzi.
Katika hotuba yake, Zitto ameonya wale wanaoamini kuwa mabadiliko yanaweza kuletwa bila kushiriki kwenye mchakato wa uchaguzi.
Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuwa na wagombea kutoka vyama mbadala ambao wataweza kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi, huku akisema chama kinachoshiriki uchaguzi ndicho kinachopewa nafasi ya kuleta mabadiliko, si kile kinachokaa pembeni.
Waliokataa kushiriki uchaguz wengine wanaoumia wengine 🤣🤣🤣!! Yaan ni saw na... Agongwe dem chumba cha pili ukojoe ww chumban kwako 🤣🤣🤣Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi.
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Tukuyu, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya siku ya Jumamosi, Zitto amesema ingawa wananchi wamechoshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupinga kwao hakutakuwa na maana yoyote iwapo hawatajipanga kushiriki katika uchaguzi kwa ajili ya kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura.
Zitto amesema kuwa ni wazi Watanzania wamechoshwa na vitendo vya wizi wa kura, upuuzwaji wa sauti zao na ufisadi wa kisiasa unaodhoofisha demokrasia. Hata hivyo, ameonya kuwa suluhisho la hayo yote siyo kukaa nyumbani au kususia uchaguzi bali kupambana kupitia ushiriki wa moja kwa moja kwenye uchaguzi.
Katika hotuba yake, Zitto ameonya wale wanaoamini kuwa mabadiliko yanaweza kuletwa bila kushiriki kwenye mchakato wa uchaguzi.
Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuwa na wagombea kutoka vyama mbadala ambao wataweza kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi, huku akisema chama kinachoshiriki uchaguzi ndicho kinachopewa nafasi ya kuleta mabadiliko, si kile kinachokaa pembeni.
Nashukuru kwa kukuri kuwa huwa mnaweza kupiga kura zaidi ya moja. Tunaposema box la kura huwa haliheshimiwi mnatokwa na mishipa ya shingo kwanini?Tutawasaidia kupiga kura, namba zao za kadi ya kupigia kura tunazo
Kwani kuanzia 2020 mpaka leo tumeishije?? Tutaendelea kuishi kama tunavyoishi leo bila viongozi wa kututetea.Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi.
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Tukuyu, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya siku ya Jumamosi, Zitto amesema ingawa wananchi wamechoshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupinga kwao hakutakuwa na maana yoyote iwapo hawatajipanga kushiriki katika uchaguzi kwa ajili ya kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura.
Zitto amesema kuwa ni wazi Watanzania wamechoshwa na vitendo vya wizi wa kura, upuuzwaji wa sauti zao na ufisadi wa kisiasa unaodhoofisha demokrasia. Hata hivyo, ameonya kuwa suluhisho la hayo yote siyo kukaa nyumbani au kususia uchaguzi bali kupambana kupitia ushiriki wa moja kwa moja kwenye uchaguzi.
Katika hotuba yake, Zitto ameonya wale wanaoamini kuwa mabadiliko yanaweza kuletwa bila kushiriki kwenye mchakato wa uchaguzi.
Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuwa na wagombea kutoka vyama mbadala ambao wataweza kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi, huku akisema chama kinachoshiriki uchaguzi ndicho kinachopewa nafasi ya kuleta mabadiliko, si kile kinachokaa pembeni.
Huyo anaongea hekaya, uchaguzi wa juzi 2024 mbona hakufanya hayo anayesema sasa? Ni hivi, NRNE. Nadhani hata idadi ya watu wanaojotokeza kuwasikiliza anaona ilivyopaya, maana wanajua wao hawamaanishi mabadiliko ya kweli, bali business as usual.Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa wito kwa Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa kususia uchaguzi ni kosa kubwa litakalogharimu taifa kwa miaka mingine mitano ya mateso ya kisiasa na kiuchumi.
Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika mji wa Tukuyu, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya siku ya Jumamosi, Zitto amesema ingawa wananchi wamechoshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupinga kwao hakutakuwa na maana yoyote iwapo hawatajipanga kushiriki katika uchaguzi kwa ajili ya kuiondoa CCM madarakani kupitia sanduku la kura.
Zitto amesema kuwa ni wazi Watanzania wamechoshwa na vitendo vya wizi wa kura, upuuzwaji wa sauti zao na ufisadi wa kisiasa unaodhoofisha demokrasia. Hata hivyo, ameonya kuwa suluhisho la hayo yote siyo kukaa nyumbani au kususia uchaguzi bali kupambana kupitia ushiriki wa moja kwa moja kwenye uchaguzi.
Katika hotuba yake, Zitto ameonya wale wanaoamini kuwa mabadiliko yanaweza kuletwa bila kushiriki kwenye mchakato wa uchaguzi.
Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuwa na wagombea kutoka vyama mbadala ambao wataweza kuleta mabadiliko ya kweli kwa wananchi, huku akisema chama kinachoshiriki uchaguzi ndicho kinachopewa nafasi ya kuleta mabadiliko, si kile kinachokaa pembeni.
Haupati nakwambia unafikiri Siro kule Kigoma anafanya nini?Huyu ni dalali mpiga dili ameahidiwa ubunge wa mezani na mzanzibari mwanamke
2024 uchaguzi wa SM alifanya kama alichofanya Magufuli 2019, ambapo ile ilikuwa uchaguzi kipimo cha kupima tabia yake, na akaproove failure. Usidhani tumesahau ukweli ule.Wanajua ila nikatika namna yakukumbushana,Ni kama wale wanaowaambia kua bila reform hakuna uchaguzi,unafikiri wanaowaambia wanakua hawajui hayo?.Hakuna kigeni ila lazima watu waambiane katika namna nzuri.Na katika hili zitto yuko sahihi kwasababu mifano ya chaguzi zinazotolewa mifano ziliharibiwa na magufuli ambaye kwasasa hayupo na aliyepo sasa sioni akiwa na nia yakuingilia mchakato kwa kiwango kile.