GE2025 Zitto Kabwe: Wasioshiriki uchaguzi watajutia uamuzi wao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
#humutuu
 

Attachments

  • 20250705_153536.jpg
    157.8 KB · Views: 20
  • _Act ni Moja ya vyama vinavyokwamisha mabadiliko ___ _wanaharakatitanzania _tunadaimabadiliko ...mp4
    1.6 MB
Sheria inasema ukipiga kura nenda nyumbani wewe unasema Kaa kituoni Linda kura, huo si uchochezi kuna tofauti na yule wa kukinukisha hapo
 
ina maana Zitto anaona wananchi wanaotaka reforms za msingi ktk chaguzi zetu wanakosea?

Well ubunge atapata, lakini it seems hautokuwa na maslahi kwa umma. Utakuwa ni ubunge wa rhetoric zaidi badala ya kuchukua hatua madhubuti kuondoa kasoro za mifumo feki ya uchaguzi.
 
Najaribu kufikiria tu, kama upinzani hautashiriki uchaguzi na chama tawala kikashiriki peke yake, je kuna yeyote atakuja kupinga matokeo? Na je atasikilizwa?​
 
Ila kweli...
Kila watu tubaki na slogan zetu. Uzuri hata wakipiga kura watu 100 inatosha, matokeo yanapatikana na mshindi anatangazwa, kwani lazima watu wote wapige kura?

Tunaosema October tuna tick tunasonga mbele. (Kitakwimu tuko milioni 8)

Wanaosema NrNe fresh, endeleeni na utaratibu wenu.

Mnaosema mtashiriki na kulinda kura, kila la kheri, ila msije na malalamiko baada ya uchaguzi 😀😀

Hakuna kitu inauma kubadilishiwa matokeo😀😀😀
 
Waliokataa uchaguzi bila reforms wapo ma mamilion ya wananchi wale ambao wanaenda kwenye uchaguzi wapo na baadhi ya wanachama wao maana sio wote wanachama wao wanakubali kwenda kwenye uchaguzi bila reform, Zitto anazeeka vibaya , na mbaya zaidi wema sepetu angekua bado kijana tungempa kazi ya kumtuliza Zitto hata kwa kumwangalia usoni
 
Dogo analeta ucho_ko kwenye mambo ya msingi dah!
 
Waliokataa kushiriki uchaguz wengine wanaoumia wengine 🤣🤣🤣!! Yaan ni saw na... Agongwe dem chumba cha pili ukojoe ww chumban kwako 🤣🤣🤣
 
Tutawasaidia kupiga kura, namba zao za kadi ya kupigia kura tunazo
Nashukuru kwa kukuri kuwa huwa mnaweza kupiga kura zaidi ya moja. Tunaposema box la kura huwa haliheshimiwi mnatokwa na mishipa ya shingo kwanini?
 
Kwani kuanzia 2020 mpaka leo tumeishije?? Tutaendelea kuishi kama tunavyoishi leo bila viongozi wa kututetea.
 
Huyo anaongea hekaya, uchaguzi wa juzi 2024 mbona hakufanya hayo anayesema sasa? Ni hivi, NRNE. Nadhani hata idadi ya watu wanaojotokeza kuwasikiliza anaona ilivyopaya, maana wanajua wao hawamaanishi mabadiliko ya kweli, bali business as usual.
 
Zitto ameshakuwa irrelevant kwasasa. Hana hoja za msingi anaishi kwa umashuhuri wa jina lake ila matendo yake kwasasa yanatia sana mashaka juu ya uwepo wake katika siasa ni kwa maslahi ya nani nje ya masilahi yake binafsi.

Zitto sio mtu mzuri tena.
 
2024 uchaguzi wa SM alifanya kama alichofanya Magufuli 2019, ambapo ile ilikuwa uchaguzi kipimo cha kupima tabia yake, na akaproove failure. Usidhani tumesahau ukweli ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…