Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kabwe ni mwana CCM wa kutegemewa na anakazi moja tuNilipata nafasi ya kumfahamu zitto Kabwe kwa kiasi kidogo wakati akiwa ni mwanachama wa CHADEMA.
Yeye na Julius Mtatiro wakati huo akiwa CUF, walikuwa wananivutia hasa walipokuwa wanachambua mada za uchumi na maendeleo ya jamii.
Mtatiro yeye alitoka kwa hoja ya kuchoka kusubiri fursa akiwa upinzani. Nakumbuka alikuwa humu lakini alipojiunga tu na CCM, Posts na mabandiko yake yote aliyokuwa anaikosoa Serikali na CCM aliomba vifutwe.
Zitto Kabwe yeye aliachana njia na CHADEMA na kwenda ACT-Wazalendo, ambako yupo mpaka sasa.
Zitto ni mtu aliyeonekana atakuja kuwa kiongozi mkubwa mbele ya safari. Na kuna wakati alisema mara tu akifikisha umri wa kugombea Urais angegombea.
Sasa naona kama zitto kapoteana kisiasa. Kuna jambo lolote lile zitto anaweza kufanya kurudisha umaarufu wake wa kisiasa?
Aliyemmaliza Zitto ni mbowe, tusiwe wanafiki. Zitto kama binadamu wengine anayo madhaifu yake, lakini mchango wake katika kuijenga chadema hasa kwa kuwavuta vijana wengi, hakuna anayeweza kuufuta.Kikwete kammaliza
Yupo anazengea zengea dili la kupunguza kura za upinzani 2030Nilipata nafasi ya kumfahamu zitto Kabwe kwa kiasi kidogo wakati akiwa ni mwanachama wa CHADEMA.
Yeye na Julius Mtatiro wakati huo akiwa CUF, walikuwa wananivutia hasa walipokuwa wanachambua mada za uchumi na maendeleo ya jamii.
Mtatiro yeye alitoka kwa hoja ya kuchoka kusubiri fursa akiwa upinzani. Nakumbuka alikuwa humu lakini alipojiunga tu na CCM, Posts na mabandiko yake yote aliyokuwa anaikosoa Serikali na CCM aliomba vifutwe.
Zitto Kabwe yeye aliachana njia na CHADEMA na kwenda ACT-Wazalendo, ambako yupo mpaka sasa.
Zitto ni mtu aliyeonekana atakuja kuwa kiongozi mkubwa mbele ya safari. Na kuna wakati alisema mara tu akifikisha umri wa kugombea Urais angegombea.
Sasa naona kama zitto kapoteana kisiasa. Kuna jambo lolote lile zitto anaweza kufanya kurudisha umaarufu wake wa kisiasa?
Aliisaliti chadema? How! Si alifukuzwa uanachama?Tangu alipoisaliti CHADEMA alinitoka moyoni,mpaka leo.
Mbona ni kawaida sana tuNilipata nafasi ya kumfahamu zitto Kabwe kwa kiasi kidogo wakati akiwa ni mwanachama wa CHADEMA.
Yeye na Julius Mtatiro wakati huo akiwa CUF, walikuwa wananivutia hasa walipokuwa wanachambua mada za uchumi na maendeleo ya jamii.
Mtatiro yeye alitoka kwa hoja ya kuchoka kusubiri fursa akiwa upinzani. Nakumbuka alikuwa humu lakini alipojiunga tu na CCM, Posts na mabandiko yake yote aliyokuwa anaikosoa Serikali na CCM aliomba vifutwe.
Zitto Kabwe yeye aliachana njia na CHADEMA na kwenda ACT-Wazalendo, ambako yupo mpaka sasa.
Zitto ni mtu aliyeonekana atakuja kuwa kiongozi mkubwa mbele ya safari. Na kuna wakati alisema mara tu akifikisha umri wa kugombea Urais angegombea.
Sasa naona kama zitto kapoteana kisiasa. Kuna jambo lolote lile zitto anaweza kufanya kurudisha umaarufu wake wa kisiasa?
Mahusiano yake na kikwete ndio yaliyomuondoa Chadema, Nakuhakikishia hivyo, Mpango wa Kikwete kumtumia Zitto kuhujumu Chadema ndio ulimmaliza, Muulize Kitilla Mkumbo anajua na amekiri mara kadhaaAliyemmaliza Zitto ni mbowe, tusiwe wanafiki. Zitto kama binadamu wengine anayo madhaifu yake, lakini mchango wake katika kuijenga chadema hasa kwa kuwavuta vijana wengi, hakuna anayeweza kuufuta.
Alipaa kisiasa hadi akawa tishio kwa wakubwa ndani ya chama, akaundiwa magenge ya kummaliza kisiasa yakiongozwa na saanane.
Hakika aliipenda chadema, lakini hakuwa na chaguo jingine baada ya kufukuzwa kwa hila.
Ni jambo la heri kwamba Lissu alishinda uchaguzi. Kama angeshindwa, yaliyomkuta Zitto yangemhusu.
Naona umemkatia tamaa kabisa.Kwa sasa Zitto anatakiwa ahamie CCM ili walau ale mema ya nchi kama Kitila
Padri Slaa ndiyo nani?Mbona ni kawaida sana tu
Kambona, Padri Slaa, na wengi tu wengine walipita pia
Anakula ccm bila hata kuhamiaSafari ya Zitto kisiasa imekatizwa ghafla sana. Hata chama chake cha ACT hana tena mamlaka nacho kimeshakuwa chama cha Wapemba na Zitto ni kama mgeni mwenyeji. Akiwazingua Wapemba, wanaondoka zao kama walivyoondoka CUF na hapo ACT itakuwa CHAUMMA iliyochangamka.
Kwa sasa Zitto anatakiwa ahamie CCM ili walau ale mema ya nchi kama Kitila
Jamaa mbona kama si mtu wa mambo hayo.Ujue nahisi kuna muda ukiendekeza chini kuna nuksi zinakuandama pia
Huyo ni kama mbwa... Anavizia vizia wengine waliamshe ili aishi!Nilipata nafasi ya kumfahamu zitto Kabwe kwa kiasi kidogo wakati akiwa ni mwanachama wa CHADEMA.
Yeye na Julius Mtatiro wakati huo akiwa CUF, walikuwa wananivutia hasa walipokuwa wanachambua mada za uchumi na maendeleo ya jamii.
Mtatiro yeye alitoka kwa hoja ya kuchoka kusubiri fursa akiwa upinzani. Nakumbuka alikuwa humu lakini alipojiunga tu na CCM, Posts na mabandiko yake yote aliyokuwa anaikosoa Serikali na CCM aliomba vifutwe.
Zitto Kabwe yeye aliachana njia na CHADEMA na kwenda ACT-Wazalendo, ambako yupo mpaka sasa.
Zitto ni mtu aliyeonekana atakuja kuwa kiongozi mkubwa mbele ya safari. Na kuna wakati alisema mara tu akifikisha umri wa kugombea Urais angegombea.
Sasa naona kama zitto kapoteana kisiasa. Kuna jambo lolote lile zitto anaweza kufanya kurudisha umaarufu wake wa kisiasa?
Wilbroad SlaaPadri Slaa ndiyo nani?