Kwani zito alishindwa uchaguzi na MboweAliyemmaliza Zitto ni mbowe, tusiwe wanafiki. Zitto kama binadamu wengine anayo madhaifu yake, lakini mchango wake katika kuijenga chadema hasa kwa kuwavuta vijana wengi, hakuna anayeweza kuufuta.
Alipaa kisiasa hadi akawa tishio kwa wakubwa ndani ya chama, akaundiwa magenge ya kummaliza kisiasa yakiongozwa na saanane.
Hakika aliipenda chadema, lakini hakuwa na chaguo jingine baada ya kufukuzwa kwa hila.
Ni jambo la heri kwamba Lissu alishinda uchaguzi. Kama angeshindwa, yaliyomkuta Zitto yangemhusu.
Wote hao ni wahanga wa ugaidi wa mboweWilbroad Slaa
Kuna kipindi alitaka kugombea uenyekiti akafanyiwa mizengwe, labda ulikuwa hujazaliwa.Kwani zito alishindwa uchaguzi na Mbowe
What about mbowe!Huyo hata atembee uchi sio habari tena.
Usaliti unaondoa legacy yako kwenye siasa hana tofauti na late mrema & lipumba, mbatia et al
Mbowe kidogo chama kinambeba hajahama na ile kuruhusu uchaguzi kuwa huru aisee apewe maua yake kwa ule ujasiriWhat about mbowe!
Mbowe yuko CCMMbowe kidogo chama kinambeba hajahama na ile kuruhusu uchaguzi kuwa huru aisee apewe maua yake kwa ule ujasiri
KivipMbowe yuko CCM
MwanachamaKivip
Ushahidi?Mwanachama
Niamini Bro!!Ushahidi?
Ccm kwishaaaaaaaaEndelea kupambana kuiokoa CHADEMA inayoendelea kuserereka kuelekea Shimoni