GE2025 Zitto: Kama Wamasai hawasumbuliwi Uraia kwanini Watu wa Kigoma wasumbuliwe Uraia?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema moja ya ahadi zake ni kitetea Watu wa Kigoma ambao wamekuwa wakipata usumbufu katika suala la Uraia wao.

Zitto ambaye ni Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema hayo Jumapili Oktoba 12, 2025 wakati anafanya Mkutano wa Kampeni katika Uwanja wa Community Center Mkoani Kigoma.
 
Wamasai walikuwa na taifa lao tofauti na wakongomani wenzako chawa ditto kabwa
 
Back
Top Bottom