minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Ni kweli kasema hatoi cent 5 bora afe kateseka vya kutoshaMzee Ruge nasikia kakataa kuomba msamaha ni bora afie jela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kasema hatoi cent 5 bora afe kateseka vya kutoshaMzee Ruge nasikia kakataa kuomba msamaha ni bora afie jela
Hivi watu wanaoweza kumfungulia kesi spika wa bunge na raisi wa nchi, wanashindwa nini kuwafungulia kesi hao watu waliobeba hela za escrow kwenye mikokoteni kama kweli ni hela ya serikari na wana amini wanahatia.Mkuu akina Zito wangesema wahusika wote wa escrow wakamatwe na sio watu wawili tu.
Haina msaada wowote.,.mbona yeye alikua anajua na akuweza bdilisha kwa manufaa ya wananchi akiwa Rais pendwaHuwa nayakumbuka maneno ya Baba wa taifa. "Katiba ya Tanzania imempa madaraka makubwa sana Rais wa Tanzania. Siku akiingia madarakani mwendawazimu, tutapata shida". Hayo ni maneno ya Nyerere. Nitawaletea video clip, ninayo.
Good umelipa za uso hilo li Pimbi halina hamu li kamongo la kijani la Lumumba.Wewe ndiyo shabiki pumbavu waliokula pesa za kivuko cha Dar Bagamoyo wameshitakiwa wapi? Kivuko kipo wapi sasa? Thamani yake tshs ngapi? Chuki unafiki unavyo wewe mshamba, wapo wapi walitafuna pesa za Richmond? Pesa za Rada, bomba la Gesi, kiwanda Hewa huko Lindi, wapo wapi waliouza nyumba za Serikali wakajiuzia nyumba kibao kienyeji na zingine kugawa kwa hawala ambao hawakuwa watumishi wa Serikali, wapo wapi walio kula Tilion 1.5 kienyeji wakata kumtoa kafara CAG kwa njia haramu? CCM mmetafuna pesa nyingi list ya tuhuma ni kubwa acha kujitoa fahamu kuja hapa kutaka kuwatukana wachangiaji wakati wewe mwenyewe huna kumbukumbu ya madhambi yenu kibao.
Mimi kila siku huwa najiuliza watanzania tumemkosea nini Mungu mpaka akaamua kumleta shetani kupitia ccm sipati jibu?Bwana yule ana roho ya kinyama na kishetani!!!
Watetezi wa CCM huwa hawana kumbukumbu wengi wanaamini CCM ni malaika hawana dhambi inabidi tuwakumbushe kwa bidii pasipo kuchokaGood umelipa za uso hilo li Pimbi halina hamu li kamongo la kijani la Lumumba.
Na sasa shetani yupo kwa Bashite maana yeye na Le mutuz wanamiliki utitiri wa waganga wa kienyeji toka mataifa mbalimbali kwa minajili ya kumlinda mtukufu na wao wenyewe.Mimi kila siku huwa najiuliza watanzania tumemkosea nini Mungu mpaka akaamua kumleta shetani kupitia ccm sipati jibu?
Steven wasira anawajua kwa majina mtafute atakutajia ingawa mmoja ni mmiliki wa fish market ya pale OyestabayHivi watu wanaoweza kumfungulia kesi spika wa bunge na raisi wa nchi, wanashindwa nini kuwafungulia kesi hao watu waliobeba hela za escrow kwenye mikokoteni kama kweli ni hela ya serikari na wana amini wanahatia.
Waliokula tilion 1.5 wakataka kumtoa kafara CAG hawajakamatwaMsaliti wa karne. Waliokamatwa si ndiyo hao aliowataja kwa ufisadi?
Nipo safarini. Nikitulia naipandisha hapa. Ila Jf haliharibiki jambo. Najua kuna mjumbe ataipandisha kabla ya mimi.Lete hiyo video naitafuta sana.
Ni vigumu kesi ya kubambika kueleweka mahakamani
Hiyo hoja tu ya Rais kwamba watu "watubu" makosa yao halafu "warejeshe" kiasi wanachotuhumiwa "kupora", inanuka. ukiangalia watu wamekaa magerezani miaka nenda rudi, halafu mtu anakuja na "proposal" kama hii, unaona tu wazi kwamba kashindwa kuwahukumu ila anataka fedha yao. "wakereketwa" na "wanaharakati huru" mnaweza kuongea vyovyote mnavyotaka, lakini angalau Kamanda Sirro katufungua macho kwamba kumbe wahusika huwa wanasoma mitandaoni na wanajua kwamba wanatenda hayo madhambi.Watu sio maji kuwa hayana idadi/hayahesabiki.
Ni vizuri ataje majina ya watu anaodai wamebambikiwa kesi ya uhujumi uchumi ili tuwajue kuliko kuongea lugha za kisiasa.
Kinyume cha hivyo ni kutafuta tambo za kisiasa!
Hupata kazi ngumu kumfunga mtuNi vigumu kesi ya kubambika kueleweka mahakamani