Pre GE2025 Zitto kugombea Ubunge Kigoma 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Zitto anasema kwa vyovyote vile anataka kurudi bungeni 2025, halafu hapo hapo anatuambia chama chake ni cha kidemokrasia zaidi ya vingine vyote.

Chama kingekuwa cha kidemokrasia asingetakiwa kutumia maneno "kwa vyovyote vile" matumizi ya hayo maneno yanaonesha yupo tayari hata kuwahinga wajumbe ilimradi awe mshindi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Huyu Zitto ndio alimfanyia dhihaka Lissu ulemavu wake. mbona yeye anaonekana ana shida ya ngozi?
 
Tangu adanganye kuwa 2015 majimbo yote ya mkoa wa Kigoma yanaenda ACT, halafu Cha kushangaza akapata Jimbo moja tu ndipo nikajua Zitto ni mnafiki. Akawamaliza akina Machali, Kafulila , zaituni etc.
 
Tkataka, ili afanye nini na kesha kuwa CHAWA
 
Kweli kabisa bunge lilimkosa mbunge mahiri wa chama kikuu cha upinzani bara na visiwani!
 
Huyu jamaa ana umri gani mbona huwa mnasema ni kijana?
 
Hivi huyu jamaa aliunguaga au ni mizimu? Nasikia ni miongongoni mwa vijana wachawi sana.
 
Ndivyo nilivyoelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…