lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
How to get rid of him Mwanasiasa mnafikiLini Zitto alishawwhi kuunga mkono mabadiliko?
Zitto ni CCM to the core, kama ilivyo ACT ni funded subsidiary ya CCM.
TUNDU LISSU ALIBARIKI KUFUKUZWA KWA ZITTO CHADOMOLini Zitto alishawwhi kuunga mkono mabadiliko?
Zitto ni CCM to the core, kama ilivyo ACT ni funded subsidiary ya CCM.
Ndiyo maana wenyeviti hawataki kung'ooka hata kwa grader.TUNDU LISSU ALIBARIKI KUFUKUZWA KWA ZITTO CHADOMO
Huyu Jamaa Ni mtu hatari Sana kwenye siasa za upinzani,ukifatilia historia yake ya usaliti,kuvujisha texts,misimamo yake, utagundua kua anakula meza moja na watesi.. katika maandamano yake ya Jana ya kutangaza Nia ya kugombea ubunge Hakukua na polisi wala mgambo Kama wanavyofanyiwa wapinzani,.
Nimefatilia Mahojiano yake mengi Sana,moja maarufu akiwa katika kipindi Cha The Big Agenda akizungumzia Kubakwa kwa uchaguzi 2020,akiwa na data na majina ya watu walioonewa na michezo iliyotumika kufanikisha hilo,akagoma kuutambua ule Uchaguzi,akaita UCHAFUZI..
Leo Chadema wanataka uchaguzi wa haki sheria zifanyiwe mabadiliko #NoReformNoElection Lakini Zitto (Puppet) Ametangaza Nia ya kushiriki Uchaguzi, Tume ileile, Sheria zilezile za 2020. Nini kitabadilika? unafikiri Utashinda? OH nimefahamu, Wamekuahidi Utashinda uchaguzi Kama ACT mlivyo kubaliana na CCM Zanzibar kuongoza? Kwako kushinda sio Tatizo bila Shaka..
Zitto Kawa Mpinzani wa Chadema sio CCM
1: Wapinzani kutoungana kususia uchaguzi kunaipa Nguvu CCM na Serikali kwa kuonekana Hoja za Chadema za kibinafsi sio takwa la upinzani (Personal agenda)..
2: Vita itahama from Udikteta(CCM) vs Upinzani Hadi Chadema Vs ACT
3: Kama mabadiliko Yana faida kwa Wapinzani wote ikiwemo CHAUMA na ACT,tendo la kutoungana ina maana Kuna watu wapo upande wa CCM ambayo kwao mabadiliko Ni taboo..
Katika Time ambayo taifa linatakiwa kuungana,kua wamoja dhidi ya wakandamizaji ,akitokea mtu yeyote awe Sheikh, Askofu, Celebrity ,Mwanasiasa akijaribu ku change narrative Ya kinachopiganiwa, simply yupo upande wa Dikteta.
Mjini hapa, Kila mtu amekuja kivyake na ataondoka kivyake.....mstake kumpangia mtu aishi vipi mapimbi nyie. Kwani yeye amewapangia nyie Cha kufanya?!!! Mnaacha kuhangaika na watu wenu waliojiunga kabisa na ccm na kuoewa vyeo nyie mpo na zitto tu aliye na Chama chake. Hawa kweli ni manyumbu washenzi hawa.Na hili suala sio about personality, Dini Wala Ukanda, it's about how narrative warfare works. Muda wa Watu kuungana na kua wamoja, the most effective tool inayotumika na Serikali Ni kuwatenga watu kidini, kisiasa, kiitikadi. Sitoshangaa kusikia Mikutano ya ACT ina baraka za Police na Fedha za serikali zitatumika
Slaa (karibu mkuu)ACT na CCM wana ushirika katika serikali kule Zanzibar, mnajua makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wa ACT. Kwa mukhtadha na ushirika huo hakuna upinzani hapa, ni kitu kimoja. ACT Wazalendo watanufaika na ushirika huo kwa kuachiwa na kupewa kata na majimbo kadhaa. CHADEMA ndicho chama cha upinzani pekee, hivi vingine ni mamluki tu
sasa gentleman,Huyu Jamaa Ni mtu hatari Sana kwenye siasa za upinzani,ukifatilia historia yake ya usaliti,kuvujisha texts,misimamo yake, utagundua kua anakula meza moja na watesi.. katika maandamano yake ya Jana ya kutangaza Nia ya kugombea ubunge Hakukua na polisi wala mgambo Kama wanavyofanyiwa wapinzani,.
Nimefatilia Mahojiano yake mengi Sana,moja maarufu akiwa katika kipindi Cha The Big Agenda akizungumzia Kubakwa kwa uchaguzi 2020,akiwa na data na majina ya watu walioonewa na michezo iliyotumika kufanikisha hilo,akagoma kuutambua ule Uchaguzi,akaita UCHAFUZI..
Leo Chadema wanataka uchaguzi wa haki sheria zifanyiwe mabadiliko #NoReformNoElection Lakini Zitto (Puppet) Ametangaza Nia ya kushiriki Uchaguzi, Tume ileile, Sheria zilezile za 2020. Nini kitabadilika? unafikiri Utashinda? OH nimefahamu, Wamekuahidi Utashinda uchaguzi Kama ACT mlivyo kubaliana na CCM Zanzibar kuongoza? Kwako kushinda sio Tatizo bila Shaka..
Zitto Kawa Mpinzani wa Chadema sio CCM
1: Wapinzani kutoungana kususia uchaguzi kunaipa Nguvu CCM na Serikali kwa kuonekana Hoja za Chadema za kibinafsi sio takwa la upinzani (Personal agenda)..
2: Vita itahama from Udikteta(CCM) vs Upinzani Hadi Chadema Vs ACT
3: Kama mabadiliko Yana faida kwa Wapinzani wote ikiwemo CHAUMA na ACT,tendo la kutoungana ina maana Kuna watu wapo upande wa CCM ambayo kwao mabadiliko Ni taboo..
Katika Time ambayo taifa linatakiwa kuungana,kua wamoja dhidi ya wakandamizaji ,akitokea mtu yeyote awe Sheikh, Askofu, Celebrity ,Mwanasiasa akijaribu ku change narrative Ya kinachopiganiwa, simply yupo upande wa Dikteta.
Na hili suala sio about personality, Dini Wala Ukanda, it's about how narrative warfare works. Muda wa Watu kuungana na kua wamoja, the most effective tool inayotumika na Serikali Ni kuwatenga watu kidini, kisiasa, kiitikadi. Sitoshangaa kusikia Mikutano ya ACT ina baraka za Police na Fedha za serikali zitatumika
Amekosea hesabu.Huyu Jamaa Ni mtu hatari Sana kwenye siasa za upinzani,ukifatilia historia yake ya usaliti,kuvujisha texts,misimamo yake, utagundua kua anakula meza moja na watesi.. katika maandamano yake ya Jana ya kutangaza Nia ya kugombea ubunge Hakukua na polisi wala mgambo Kama wanavyofanyiwa wapinzani,.
Nimefatilia Mahojiano yake mengi Sana,moja maarufu akiwa katika kipindi Cha The Big Agenda akizungumzia Kubakwa kwa uchaguzi 2020,akiwa na data na majina ya watu walioonewa na michezo iliyotumika kufanikisha hilo,akagoma kuutambua ule Uchaguzi,akaita UCHAFUZI..
Leo Chadema wanataka uchaguzi wa haki sheria zifanyiwe mabadiliko #NoReformNoElection Lakini Zitto (Puppet) Ametangaza Nia ya kushiriki Uchaguzi, Tume ileile, Sheria zilezile za 2020. Nini kitabadilika? unafikiri Utashinda? OH nimefahamu, Wamekuahidi Utashinda uchaguzi Kama ACT mlivyo kubaliana na CCM Zanzibar kuongoza? Kwako kushinda sio Tatizo bila Shaka..
Zitto Kawa Mpinzani wa Chadema sio CCM
1: Wapinzani kutoungana kususia uchaguzi kunaipa Nguvu CCM na Serikali kwa kuonekana Hoja za Chadema za kibinafsi sio takwa la upinzani (Personal agenda)..
2: Vita itahama from Udikteta(CCM) vs Upinzani Hadi Chadema Vs ACT
3: Kama mabadiliko Yana faida kwa Wapinzani wote ikiwemo CHAUMA na ACT,tendo la kutoungana ina maana Kuna watu wapo upande wa CCM ambayo kwao mabadiliko Ni taboo..
Katika Time ambayo taifa linatakiwa kuungana,kua wamoja dhidi ya wakandamizaji ,akitokea mtu yeyote awe Sheikh, Askofu, Celebrity ,Mwanasiasa akijaribu ku change narrative Ya kinachopiganiwa, simply yupo upande wa Dikteta.
Na hili suala sio about personality, Dini Wala Ukanda, it's about how narrative warfare works. Muda wa Watu kuungana na kua wamoja, the most effective tool inayotumika na Serikali Ni kuwatenga watu kidini, kisiasa, kiitikadi. Sitoshangaa kusikia Mikutano ya ACT ina baraka za Police na Fedha za serikali zitatumika
unazungumzia wasaliti? Maaniiina zako, siasa huzijuiSlaa (karibu mkuu)
Kitila,
Lijualikali,
Mashinji (karibu mkuu),
Nassari,
Naibi waziri wa afya,
Katambi,
Silinde,
N.k ......wote wapo ccm. Halafu kinakuja linyumbu flani falafala hv kuongea uharo kama huu. Asiye ccm nani?!!! Mamamamae!