Zitto kuhukumiwa Mei 29, 2020

Zitto kuhukumiwa Mei 29, 2020

Mbowe akitangaza kwamba Ile Mikutano ambayo iliairishwa kwa Sababu ya Korona, sasa Kwakuwa Korona Imepungua, Mikutano inaanza upya UTAONA KORONA NAYO ITAANZA UPYA KWA MUJIBU WA CCM
 
Watanzania gani unaowazungumzia hapa, binafsi namuombea dua MBAYA na mahakama itende haki pasipo kuangalia ye ni nani.

Mkuu hata Elbashir alifunga wengi akiwa madarakani, saa hii kibao kimegeuka yeye ndio yuko jela, na kuporwa mali zote alizochuma kwa kujifanya mzalendo.
 
Mfano mfu, kwani Jakaya hakufunga? vipi Mkapa? achilia mbali Mwinyi, Nyerere hakufunga? endeleeni kujifariji kwa mifano isokuwa relevant huku mkiendelea kuvunja sheria kwamba mtaogopwa, mtaishia jail, jinai haina kulemba.
 
Kwani Nyerere, Mwinyi nk wao walikuwa malaika? Tunajua upendeleo wa wazi unaofanyika ili kuwakomoa wapinzani, hilo wala halina mjadala chini ya awamu hii. Kama kweli ingekuwa ni haki inatendeka, leo hii tungewaona kina Kangi Lugola wako mahakamani.
 
ufipa acheni undumilakuwili.tangia lini mkamtetea zito na post zenu za kumwita zito msaliti zimo humu jf ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta popote nilipowahi kumuita Zitto msaliti, ukipapata uje tuendelee na mjadala. Nimejiunga hapa jf Zito akiwa bado cdm, nipo mpaka leo. Nina ufahamu wa kutosha kuhusu hili suala la Zito hadi kujitoa cdm. Wakati wa sakata lote hilo nilichangia maana nilikuwepo hapa jukwaani, na hizo post bado zipo. Ukitaka kujua kiwango changu cha umakini, nenda pitia hizo post.
 
kwa iyo unajitetea ?
ndo minasemaga wazi nyinyi ni ndumi la kuwili.amjasamabaza kejeli,matusi ya nguoni na uzushi kwa zito nyinyi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukifanya kosa hapa, Awamu hii wataiingiza CCM kwenye janga la kukiangamiza chama. Tukumbuke KANU iliuliwa na Moi mwenyewe, baada ya kuwa na serekali ya kikabila, kujilimbikizia Mali yeye na genge lake, kuukandamiza upinzani, kuwafunga viongozi wao, hadi wananchi wakasema imetosha, na wakawapa upinzani kura nyingi sana , ambazo iliwaletea ugumu hata kuziiba kura, kwani hata wangeibaje isinge wasaidia, tofauti zilikuwa zaidi ya kura 2m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom