Zitto kuhukumiwa Mei 29, 2020

Zitto kuhukumiwa Mei 29, 2020

Tukifanya kosa hapa, Awamu hii wataiingiza CCM kwenye janga la kukiangamiza chama. Tukumbuke KANU iliuliwa na Moi mwenyewe, baada ya kuwa na serekali ya kikabila, kujilimbikizia Mali yeye na genge lake, kuukandamiza upinzani, kuwafunga viongozi wao, hadi wananchi wakasema imetosha, na wakawapa upinzani kura nyingi sana , ambazo iliwaletea ugumu hata kuziiba kura, kwani hata wangeibaje isinge wasaidia, tofauti zilikuwa zaidi ya kura 2m

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM kwa ujambazi wa madaraka walionao wanaweza kupora hata kura millioni 10 sembuse hizo mbili tu ?

Kama waliweza kuondoa wagombea wote wa vyama vya upinzani kwenye serikali za mitaa watashindwa kupora kura tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tu
Aende jela km amefanya makosa

Wakati mnafanya makosa huwa mnajifanya mpo juu ya sheria

Maji ya kiwafika shingoni ndio mnakumbuka kuna Watanzania wa kuwaombea!
Tumeaswa kuwapenda adui zetu.
Ni bora kukubali meneno ya adui yako kuliko rafiki yako anaekushangilia
 
Back
Top Bottom