Zitto kuhukumiwa Mei 29, 2020

CCM kwa ujambazi wa madaraka walionao wanaweza kupora hata kura millioni 10 sembuse hizo mbili tu ?

Kama waliweza kuondoa wagombea wote wa vyama vya upinzani kwenye serikali za mitaa watashindwa kupora kura tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tu
Aende jela km amefanya makosa

Wakati mnafanya makosa huwa mnajifanya mpo juu ya sheria

Maji ya kiwafika shingoni ndio mnakumbuka kuna Watanzania wa kuwaombea!
Tumeaswa kuwapenda adui zetu.
Ni bora kukubali meneno ya adui yako kuliko rafiki yako anaekushangilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…