Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

ZITTO AMTETEA JANUARY
"Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika,miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya,sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani,hatujaogeza hata 1MW Kwa miaka 5"@zittokabwe https://t.co/201F6NtCMY
View attachment 2015611
View attachment 2015612
Napata wasiwasi na zito kuna nchi toka mtu azaliwe hajawahi kuona umeme unakatika vipi wao hawana matengenezo
 
Siyo Rahisi Kufuta Mazuri y JPM Hawato weza
Magufuli kufuta alichofanya kunataka experts international sio chini ya laki moja Kum challenge

Ushauri wangu mdogo tu kwa wanasiasa waliopo kutukana mke wa mtu kuwa malaya hakukufanyi mke wa mtukanaji ambaye Ni Malaya aonekane mtakatifu

Nini kinatakiwa ? wewe fanya yako watu wasifu tu kwa yako mazuri

Kuponda mwingine hakukufanyi uwe Bora uwe Zitto Kabwe au Chadema au whoever.Fanya yako tu wananchi ndio wa judge Nani zaidi kuliko mwingine.Ukinitukana haikupi credit kuwa wewe ndio Bora zaidi

Magufuli mwacheni fanyeni yenu wananchi ndio wawe ma refreee Nani Bora Kati ya nyie na Magufuli

Zitto Kabwe umesikia! Waambie na wajinga wenzio
 
Tutawapima kwa matendo yao. Wakitaka JPM aonekane muongo ni kuhakikisha umeme unakuwepo.

Wananchi wanataka umeme fullstop. Njia pekee ya kufunika utendaji wa JPM ni kutenda zaidi yake.
Unasema wananchi mnataka umeme kwa namna yoyote ile! Sawa mkiletewa umeme kwa style ya Richmond, Dowans, IPTL mnaanza kulia lia tena, ohh tumepigwa tumepigwa, mafisadi wamerudi, n.k

Msipende majibu mepesi kwenye maswali magumu.

Msipende short time solutions kwenye long time problems.

Ukweli ni kwamba mvua hakuna nchi nzima na kila mtu ni shahidi. Kimo cha maji kimepungua katika mabwawa yote.

Solutions za kudumu ni mbili,
Mosi ni kusubiri mvua zinyeshe.
Pili ni ku'opt' kwenye umeme wa Gas toka kusini ambapo it is proven beyond reasonble doubts kwamba kuna m^3 millions if not billions of reserve za natural gas ambayo ikiwa tapped efficiently inaweza kutoa umeme wa kutosha kwa nchi nzima for thousands of years
 
Unasema wananchi mnataka umeme kwa namna yoyote ile! Sawa mkiletewa umeme kwa style ya Richmond, Dowans, IPTL mnaanza kulia lia tena, ohh tumepigwa tumepigwa, mafisadi wamerudi, n.k..
Umeme wa kutegemea mvua ni majanga. Sijui kwanini jiwe hakutaka kuzalisha umeme wa kutumia gasi. Alichokifanya ni kwenda kalibu mazingira zaidi na kiusababisha ukame
 
Uyu bro kuna kipindi nilikua na mwelewa sana ila kadri anavojivua magamba nazid kumwelewa zaid ni mtu wa namna gani

Nachojua atukua na shida miaka 6 iliyopita na sasa tuna shida kubwa.

Kama vip wapige tu si tupate umeme tuendelee na mishe zetu amna nafuu yoyote.
 
Umeme kukatika sio Siri rejea post zote jamii forums za kipindi Kama hiki Kama zikiongelea kukatika umeme Kama Sasa

Zitto bwege tu. kaangalie miaka yote mitano ya Magufuli Kama kipindi Kama hiki alivyoshika Madaraka Kama Kuna yeyote alileta hoja humu jamii forums kuwa Kuna mgao wa Maji au umeme Dar
 
Zitto mpigaji kama wapigaji wengine kina makamba, hilo ni genge moja.
Mleta hoja nae bonge la chawa.
 
Back
Top Bottom