Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

Swali langu kwa TANESCO

Hadi week iliyopita Mkurugenzi alituambia kwamba Uzalishaji wa umeme ni 1600MW na matumizi nchi nzima ni 1200MW ,jana wametangaza kuna upungufu wa 358MW hivyo kutakuwa na mgao ,Je mgao wa nini wakati bado tuna ziada ya 42MW? kwa wasiojua ukubwa wa MW ni kwamba mkoa wa kigoma wote ule matumizi yao ni 7MW tu.
 
Back
Top Bottom