Napata wasiwasi na zito kuna nchi toka mtu azaliwe hajawahi kuona umeme unakatika vipi wao hawana matengenezoZITTO AMTETEA JANUARY
"Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika,miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya,sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani,hatujaogeza hata 1MW Kwa miaka 5"@zittokabwe https://t.co/201F6NtCMY
View attachment 2015611
View attachment 2015612
Magufuli kufuta alichofanya kunataka experts international sio chini ya laki moja Kum challengeSiyo Rahisi Kufuta Mazuri y JPM Hawato weza
Historia inaonyesha awamu ya tano ndio inayoongoza kwa kuwalisha watanzania Matango poli ya kutoshaZITTO AMTETEA JANUARY
"Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika,miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya,sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani,hatujaogeza hata 1MW Kwa miaka 5"@zittokabwe https://t.co/201F6NtCMY
View attachment 2015611
View attachment 2015612
Unasema wananchi mnataka umeme kwa namna yoyote ile! Sawa mkiletewa umeme kwa style ya Richmond, Dowans, IPTL mnaanza kulia lia tena, ohh tumepigwa tumepigwa, mafisadi wamerudi, n.kTutawapima kwa matendo yao. Wakitaka JPM aonekane muongo ni kuhakikisha umeme unakuwepo.
Wananchi wanataka umeme fullstop. Njia pekee ya kufunika utendaji wa JPM ni kutenda zaidi yake.
JNHPP inakamilika 2022Unasema wananchi mnataka umeme kwa namna yoyote ile! Sawa mkiletewa umeme kwa style ya Richmond, Dowans, IPTL mnaanza kulia lia tena, ohh tumepigwa tumepigwa, mafisadi wamerudi, n.k...
ZITTO AMTETEA JANUARY
"Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika,miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya,sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani,hatujaogeza hata 1MW Kwa miaka 5"@zittokabwe https://t.co/201F6NtCMY
View attachment 2015611
View attachment 2015612
Sawa basi subirini mradi ukamilike. Mgao wa umeme kwa sasa haukwepeki. Mvua hakuna. Kimo cha maji kimepungua kila sehemu mpaka mito mingine imekauka. Ni janga la kitaifa la kiasili. Hakuna wa kulaumiwaJNHPP inakamilika 2022
Umeme wa kutegemea mvua ni majanga. Sijui kwanini jiwe hakutaka kuzalisha umeme wa kutumia gasi. Alichokifanya ni kwenda kalibu mazingira zaidi na kiusababisha ukameUnasema wananchi mnataka umeme kwa namna yoyote ile! Sawa mkiletewa umeme kwa style ya Richmond, Dowans, IPTL mnaanza kulia lia tena, ohh tumepigwa tumepigwa, mafisadi wamerudi, n.k..
Sio manenomanenoTutawapima kwa matendo yao. Wakitaka JPM aonekane muongo ni kuhakikisha umeme unakuwepo.
Wananchi wanataka umeme fullstop. Njia pekee ya kufunika utendaji wa JPM ni kutenda zaidi yake.
Pamoja sana magigisiUjiga mtupu ume andika
FoolKamanda Mataga
Zitto ni mpigaji tu.Napata wasiwasi na zito kuna nchi toka mtu azaliwe hajawahi kuona umeme unakatika vipi wao hawana matengenezo
Tumia common sense.Zitto mpigaji kama wapigaji wengine kina makamba, hilo ni genge moja.
Mleta hoja nae bonge la chawa.
Fiksi zilizo wezesha umeme usikatike.Jiwe alikuwa bingwa wa fiksi.