Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

Kwa hiyo unadhani ni chama gani tukiwapa watafanya vizuri kuliko ccm ni nn kinakupa hiyo imani!?
 
Mchonyo wa marehemu babu yako alielala huko mwandiga:

Mbwa kama hawa wakina zitto ndio wanaowasababisha watu waende jela bila kukusudia.

Hebu imagine anaongea upumbavu huo mbele yako utaacha kumlapua kofi au kumtemea kohozi.
 
Currently (2020), tanzania’s total power installed capacity is 1,602 mw of which 244 mw were added in the past four years. Tanzania’s electricity generation comes mostly from natural gas (48%), followed by hydro (31%), petrol (18%), solar (1%), and biofuels (1%).

Tanzania also imports power from uganda (10 mw), zambia (5 mw) and kenya (1 mw). The traditional dependence on hydropower combined with the droughts that are affecting the country, often result in power supply shortages. To bridge the electricity supply gap in the country, tanesco contracted emergency power producers (epp).

Read more at: tanzania energy sector - tanzaniainvest and follow us on www.Twitter.Com/tanzaniainvest.

Kama ukweli ndio huu basi hakuna wa kulaumu,ni janga la kiasili kwani hakuna asiyeshuhudia ukame uliopo kwa sasa. Tuendelee kuomba mungu, lakini tushauri serikali ijikite kuwekeza kwenye sources zingine za umeme kama natural gas,upepo,jotoardhi n.K. Ili ziwe kama backup wakati kama huu. Bila hivyo tutaishia kudhalilishana tu humu bila kupata suluhu
 
Muacheni JPM apumzike jamani, hata kama wavae ama wasivae viatu vyake ukweli ni kuwa ameshatangulia mbele za haki kwa yale mazuri tunashukuru kwa maisha yake kwa yale mabaya kama ajira kwa vijana tuna shukuru Mama anafanyia kazi.
Unaongelea ajira zipi za vijana? Ilihali wamachinga waliojiajiri wanafukuzwa ovyo na kuchomewa vibanda vyao kwa kisingizio cha kuwapanga.
 
Zitto ana tabia ya kutuona sisi ni wajinga sana kanakwamba hatuwezi kujua kinachoendelea!??
he is a lost course
 
Zitto anafanya haya kwa sababu mbili.
1. Waziri wa nishati ni rafiki yake.
2. Rais wa nchi ni muislam mwenzake.
 
Mchonyo wa marehemu babu yako alielala huko mwandiga:
Mbwa kama hawa wakina zitto ndio wanaowasababisha watu waende jela bila kukusudia.
Hebu imagine anaongea upumbavu huo mbele yako utaacha kumlapua kofi au kumtemea kohozi.
Angeongea hivyo karibu yangu nachukua penseli ya mwanangu natia jichoni mwake kisha naondoka
 
Niko hapa kusoma matusi ya mibavichaa ya Chaggadomo kwa Zitto
 
wanasmwa magufuri.alikuwa muongo lakini yeye umeme ulikuwepo sasa hawa wanalete giza harafu wanataka kutudanganya
Hauwezi kumwita mtu mwongo wakati huna jipya la kufanya ili kujustify uongo wake. Okay alikuwa mwongo lakini tulikuwa na umeme. Mkweli wewe umeme haupo. Tuache kunyosheana vidole tuje na action plan ya kumaliza tatizo la umeme
 
Kumpinga jiwe ilikuwa ni kuweka rehani maisha yako
Ni kweli. Hivi ni kweli ugonjwa wa covid19 haukuwepo Tanzania? Hivi ni kweli mapapai, mbuzi, oil chafu zilikutwa na virus vya corona? Hivi ni kweli Tz ni donor country?
 
Sisi tunataka umeme..hayo ya Magufuli ni yenu nyinyi wanasiasa wachumia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…