MCHONGANISHI
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 372
- 364
sijawahi ona mdahalo unaboa kama huu,zito na january ni kama wametumwa kuongea pale,sioni tofauti ya zito na january,nimekubali zito yupo kwenye payrol ya ccm,nimezima tv
Kwani lazima iwe CCM vs CDM? What about watanzania wakijadiliana kama watanzania?
sijawahi ona mdahalo unaboa kama huu,zito na january ni kama wametumwa kuongea pale,sioni tofauti ya zito na january,nimekubali zito yupo kwenye payrol ya ccm,nimezima tv
Du kama ni kweli kaz ipo , binafsi bia isingeshuka.nipo hapa rombo view shekilango road,namjua sana muhando nimefanya naye kazi mbeya
Tanzania.kwani CCM vs CDM ni kwa wananchi wa nchi gani?
kwani CCM vs CDM ni kwa wananchi wa nchi gani?
Hayo mambo ya Jahazi modern..CDM ni watanzania CCM ni waarabu na vibaraka wao
ngoja nami nihamie huko, hawana jipya hawajamanii eeh! chanel teni kuna hamza kassongo hour......hawa ma bazazi wanachefua tu
kilaza inginia muhando wa tanesco analewa hapa rombo view,,kwa nini asiende kwenye mdahalo?
huyu jamaa wa Tanesco wamemuokota wapi? mbona anajiumauma tu hata hajibu maswali
Au atafute TV aangalie basi, au hapo mme-tune star Tv?