Zitto: Makubaliano ya Serikali na Barrick Gold changa la macho

Yaani bandiko la zitto unaliamini mkuu. Mwambie aweke document hapa
 
Link please!!!
Plus original document ya haya uliyoyaainisha hapa tujiridhishe .......
 
Kabudi haikuwa na uwezo wa kufanya negotiations za kibiashara za kimataifa. Magufuli ulishauriwa baba ila ukadharau na sasa unaliingiza taifa kwenye tatizo kubwa zaidi ya lile ulilotaka kutatua. Kama ulivyosababisha majanga kwenye korosho na pamba .
Wasikilize wataalamu baba utauza nchi kwa mikataba mibovu ya sirini. Ipo siku tutakushitaki ujue.
 
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION NOT FOR RELEASE, PUBLICATION OR DISTRIBUTION, IN WHOLE OR IN PART, DIRECTLY OR INDIRECTLY, IN, INTO, OR FROM ANY JURISDICTION WHERE TO DO SO WOULD CONSTITUTE A VIOLATION OF THE RELEVANT LAWS OF THAT JURISDICTION
 
Zitto ametafsiri alichokisoma kwa namna livyoona yeye japo sivyo ilivyo katika uhalisia wake. Msioelewa Kiingereza na/au misamiati/lugha ya uwekezaji katika tasnia ya uziduaji mtachotwa sana na hekaya hizi za akina Zitto.

Mkuu tujuze basi wewe muelewa tuelewe
 
Si nyie mmefanya valuation ya acacia na mkagundua ya kuwa market value yake ni kubwa kuliko hiyo?

Umemsoma Zitto vizuri mzee baba?

Stone and his cronies got no maarifa!

Thats true,over and over again!
 
Dah tumeliwa sheria mpya ya madini ni redundant,
Nawashangaa wanaodhani magufuli ni mzalendo. Figisu zote zile kumbe walikuwa wanatafuta upenyo wa kupiga, inasikitisha inaumiza sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…