Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Umeelewa hoja? Hao EU kesho wakiwaita madikteta msigeuke kuwananga kuwa ni mabeberu.
Hizo ni takwimu tu kutokana na respondents waliohoji siwezi pinga ila margin of error kwa sample ndogo ni kubwa sana. Ila wakipiga kura watu million walau 10 ndio margin of error inakua ndogo na uhalisia unakua wazi kabisa.
So subiri okt 28 majibu yote utapata
Lissu hana lake mbele ya EU. Wamekubali uchaguzi huu kashindwa na ndio maana wengine tumetoa angalizo mapema kabisa. Tusije kusikia tena mara ooh kaibiwa kura, ooh uchaguzi haukuwa wa haki nk, nk.