Uchaguzi 2020 Zitto: Membe hajaacha kufanya kampeni, yuko bize kuandaa Baraza la Mawaziri

endelea kujua ivo ivo:

This is a Game bro. Wachache sana wameuelewa huu mchezo. Pole sana kwa kushindwa kuelewa game yetu.

Hebu jiulize inawezekana kweli mgombea akawa mkubwa kwenye maamuzi kuliko uongozi wa chama chake? Hahahah kazi mnayo MATAGA.
 
na mwisho kabisa, hongereni kwa kumsimamisha lissu, kulikua hamna choice ingine upinzani maanaa ndo aliebaki mwenye ushawishi, ingawa hali ndo ile ile uchaguzi mwaka huu mtapata kura chache zaidi ya mbowe alivogombea, na hakuna mnachoweza kufanya kuokoa jahazi
Mlitarajia tumsimamishe Membe??
 
This is a Game bro. Wachache sana wameuelewa huu mchezo. Pole sana kwa kushindwa kuelewa game yetu.

Hebu jiulize inawezekana kweli mgombea akawa mkubwa kwenye maamuzi kuliko uongozi wa chama chake? Hahahah kazi mnayo MATAGA.
Wacha tuwachezeshe segere hadi wakome mwaka huu
 
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya.

Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT Wazalendo imekata upepo na Mgombea wao amekimbia kampeni?

Zitto amemjibu kuwa baada ya chama chao kuona wanaelekea kushinda wameamua kuweka nguvu nyingi kumsaidia Membe kuandaa Baraza lake la Mawaziri na hivyo kuwa katika nafasi nzuri kutimiza waliyoahidi siku 100 za kwanza.
naona zito kaamua kuchekesha watu
 
Mlitarajia tumsimamishe Membe??

mm hilo halinihusu ila naona mmewekeza hisia nyingi sana kwenye huu uchaguzi ilihali mnajua kabisa hata wanachama peke yake wa ccm tu wakipiga kura bila wananchi bado hamtoki, hata mkiungana vyama vyote nchi hii bado hamtoki kwa ccm
 
Nyie inamaana hamjui kuwa Membe anamuandalia Lissu baraza la mawaziri?? Hamjui kusoma basi hata picha? Membe waziri wa mambo ya nje, Lissu Rais, waziri mkuu Mbowe .. Zkk waziri wa fedha, Magufuli waziri wa barabara .. Lema waziri wa mambo ya ndani .. Sugu waziri wa michezo .. Tamisemi Bulaya .. Mdee waziri wa katiba na sheria.. Juma duni waziri wa Elimu .. Spika Kibatala ..kwa wakuu wa mikoa tunambakisha Antony Mtaka wa Simiyu baaasi
Halima Mdee waziri wa haki za binadamu na mahusiano yasiyo na mipaka
 
This is a Game bro. Wachache sana wameuelewa huu mchezo. Pole sana kwa kushindwa kuelewa game yetu.

Hebu jiulize inawezekana kweli mgombea akawa mkubwa kwenye maamuzi kuliko uongozi wa chama chake? Hahahah kazi mnayo MATAGA.

nakuonea huruma sana bro, najua mliwekeza hisia nyingi sana huu uchaguzi ila membe hana background ya negotiation, kama alivoshindwa negotiation na ccm, at the higher point zitto alishaweka wazi bbc! nakuonea huruma sana
 
Lumumba bwana

1600747144145.png

hapo vipi Bwana, bado mnasubiri tu uchaguzi
 
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya.

Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT Wazalendo imekata upepo na Mgombea wao amekimbia kampeni?

Zitto amemjibu kuwa baada ya chama chao kuona wanaelekea kushinda wameamua kuweka nguvu nyingi kumsaidia Membe kuandaa Baraza lake la Mawaziri na hivyo kuwa katika nafasi nzuri kutimiza waliyoahidi siku 100 za kwanza.
Siku 100 za kwanza anamwandalia Lissu?.Bomu kabisa, nyie dawa yenu mkose kabisa Oct 28 kila kitu ndio mpate akili vizuri.
 
Mie si msemaji wake ILA kitendawili hiki kimetegwa sawasawa. Ni kama picha ilochorwa kwa kuficha vichwa kibao vinavoonekana na wenye macho na zana toshelezi TOFAUTI na watakaokiona kichwa au bichwa MOJA pekee.

Its complicated!
 
Mkuu unamaanisha kama Zitto angekuwa mgombea wa ACT na Lissu mgombea wa CHADEMA kwamba upinzani ungepata faida sana?
Yes, support ya pamoja ingeleta ushindani zaidi dhidi ya CCM. Mfano kwa sasa, Membe hana nguvu ya ushawishi hata kwenye majukwaa ukimlinganisha na Zitto.
 
Mie si msemaji wake ILA kitendawili hiki kimetegwa sawasawa. Ni kama picha ilochorwa kwa kuficha vichwa kibao vinavoonekana na wenye macho na zana toshelezi TOFAUTI na watakaokiona kichwa au bichwa MOJA pekee.

Its complicated!
[/QUOT
Akili kubwa
 
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya.

Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT Wazalendo imekata upepo na Mgombea wao amekimbia kampeni?

Zitto amemjibu kuwa baada ya chama chao kuona wanaelekea kushinda wameamua kuweka nguvu nyingi kumsaidia Membe kuandaa Baraza lake la Mawaziri na hivyo kuwa katika nafasi nzuri kutimiza waliyoahidi siku 100 za kwanza.
Hahahaaa kweli duniani kuna mambo
 
Mkuu umesikika vyema, sasa je weweza orodhesha hizo dharau angalau mbili?
Mimi naanza na "Baadhi ya Wawaziri wangu ni wapumbavu"
Kumbuka heshima zinatoka pande zote mbili

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Upumbavu/pumbavu ni sifa ambayo iko kwenye misahafu. Naomba samahani kabla, Je kumuita Rais wa nchi "Jiwe" kwa lengo la kumkejeli ni sawa??. Na anaye fanya hivyo ni kiongozi wa kitaifa wa chama flani. Lissu hakulelewa katika maadili sahihi huyu. Wala hawezi kuwa Rais mpuuzi tu huyu. Na ajue yako maisha baada ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom