Uchaguzi 2020 Zitto: Membe hajaacha kufanya kampeni, yuko bize kuandaa Baraza la Mawaziri

Uchaguzi 2020 Zitto: Membe hajaacha kufanya kampeni, yuko bize kuandaa Baraza la Mawaziri

Ni afadhali kupata chache kuliko angepiga kampeni kwelikweli angezichukua zaidi. Mkuu wapinzani ( CHADEMA na ACT)
katika nafasi ya urais wamejitahidi sana, walikuwa na viunzi vingi mno.
kwa hiyo unaamini kabisa membe hatopata kura kutoka kwa wafuasi wa zambarau?
 
Hawaelewi strategy nyuma ya majibu ya Zito. Membe ni smokescreen ya kuwazubaisha CCM! All along candidate ni Lissu!
Eti smokescreen kuizubaisha CCM, hivi unadhani ccm ni saccos kiasi kwamba mtu anaweza ichezea ovyo eti? CCM yenye wanachama M.7 + ichezewe na zitto mwenye wafuasi laki moja

Wakati mwingine tutumie akili zetu za kichwani sio hizo zingine
 
Akili ni ipi ndugu,huo ni ujinga wa Hali yajuu Sana na sichelei kusema hata anaesema niakilikubwa naye nimjinga kabisa,akili wakati watu Ruzuku za kampeni zipo mifukoni mwao na kampeni hawafanyi bado unasema akili kubwa,kumbuka hizo Ruzuku ni pesa zangu mimi,wewe na Watanzania wote tuliyeumia kulipa Kodi miaka yote,Leo wanaume wamezifinya mfukoni na kukaa kimya na safari za nje wakijidai wagonjwa,ifike mahali upuuzi huu tunao fanyiwa na wanasiasa ukome jamani,tuwe na uchungu
ONLY WHO HAVE BIG BRAIN KNOW THSI ILLUSSION
 
kwa impact gani aliyonayo boss?
Unajua alijiandaaje awe president?

katika watu wangefurahia TL asiwepo kwenye hiki kinyanganyilo Membe angeongoza before CCM...

TL kampoteza Membe mbaya....
Hawaelewi strategy nyuma ya majibu ya Zito. Membe ni smokescreen ya kuwazubaisha CCM! All along candidate ni Lissu!
 
likes 20 nyingi sana mkuu...
umejitahidi

Viva Magu
Nyie inamaana hamjui kuwa membe anamuandalia lissu baraza la mawaziri?? Hamjui kusoma bc hata picha?? Membe waziri wa mambo ya nje, Lissu Rais, waziri mkuu Mbowe ..Zkk waziri wa fedha , Magufuri waziri wa barabara ..Lema waziri wa mambo ya ndani ..sugu waziri wa michezo ..Tamisemi Bulaya ..Mdee waziri wa katiba na sheria..Juma duni waziri wa Elimu .. Spika Kibatala ..kwa wakuu wa mikoa tunambakisha Antony Mtaka wa simiyu baaasi
 
Act mgombea wao ni Tl. Mwenzie ni mtafuta pesa za kampeni.
 
EU tathimini yao ya siku 15 za kampeni Tanzania CCM itashinda si chini ya 81%. Lissu anaenda kuwa mgombea wa upinzani aliye vunja rekodi ya kupata asilimia kidigo tangu nchi hii ingie kwenye mfumo wa vyama vingi. Na hii itaonesha uropokaji na upayukaji bila maarifa si njia sahihi ya kuomba kura.
Utajua kuwa hujui
 
Nchi itakombolewa tu
Kwani imeshikiliwa mateka?

Ukombozi ulishaisha enzi za TANU wewe shule ulienda kufanya nini kama historia ndogo hivi inakushinda?

CCM 5 Tenaaa
 
Sasa wakitathmini pia kuwa kuna uwizi wa kura msije na mapovu kuwa ni mabeberu!!

Watathimini kuwa kuna uwizi wa kura upi. Labda kutoka asilimia 81 kwenda 96% ambazo ndizo ninazo ona kama JPM ushindi wake ukipungua ndizo atakakazo zipata. Ila kama hali itaendelea kama Tabora leo Lissu atapa 1% ya kura za urais wa JMT.
 
Jiwe anaenda kuandika historia ya kuwa Rais wa awamu moja

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Angalia Tabora aka tbr leo. Asiye na mwana...... Lissu ataachwa aendelee na aongee maneno ya kashfa na dharau kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania na Rais wa JMT mpaka lini? Kwa nini Lissu anaachwa aoneshe dharau kwa mamilioni haya ya Watanzania. Hii si mila na desturi yetu Watanzania hasa inapokuwa ni kiongozi Mzalendo kama JPM.

Uhuru wa kujieleza maana yake ni kuvuja mipaka na miiko na desturi ya heshima ya kiafrika.? Kweli, kweli, kweli kizazi hiki cha Watanzania ndio hekima yetu imeishia hapa? Tuna mshangilia mtu anayemdhalilisha Rais ambaye tumemuamini na kumpa heshima ya kutuongoza watu zaidi ya 60M. Na tena Rais anayetuonesha kwa vitendo jinsi alivyojitoa muhanga kututumikia kama Taifa. Hii si sawa hata kidogo na rudia tena na tena hii si sawa hata kidogo. Tujisahihisheni jamaani Watanzania wenzangu.
 
Kwani imeshikiliwa mateka?

Ukombozi ulishaisha enzi za TANU wewe shule ulienda kufanya nini kama historia ndogo hivi inakushinda?

CCM 5 Tenaaa
Kama wewe unashabikia uminyaji wa democracy Civics, General study na DS mbona unafundisha pillars of democracy?
 
Back
Top Bottom