Uchaguzi 2020 Zitto: Membe hajaacha kufanya kampeni, yuko bize kuandaa Baraza la Mawaziri

Uchaguzi 2020 Zitto: Membe hajaacha kufanya kampeni, yuko bize kuandaa Baraza la Mawaziri

Nyie inamaana hamjui kuwa membe anamuandalia lissu baraza la mawaziri?? Hamjui kusoma bc hata picha?? Membe waziri wa mambo ya nje, Lissu Rais, waziri mkuu Mbowe ..Zkk waziri wa fedha , Magufuri waziri wa barabara ..Lema waziri wa mambo ya ndani ..sugu waziri wa michezo ..Tamisemi Bulaya ..Mdee waziri wa katiba na sheria..Juma duni waziri wa Elimu .. Spika Kibatala ..kwa wakuu wa mikoa tunambakisha Antony Mtaka wa simiyu baaasi
Keep Dreaming Bro.

October 28 ni CCM 5 tena
 
EU tathimini yao ya siku 15 za kampeni Tanzania CCM itashinda si chini ya 81%. Lissu anaenda kuwa mgombea wa upinzani aliye vunja rekodi ya kupata asilimia kidigo tangu nchi hii ingie kwenye mfumo wa vyama vingi. Na hii itaonesha uropokaji na upayukaji bila maarifa si njia sahihi ya kuomba kura.
 
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya .
Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT imekata upepo na mgombea wao amekimbia kampeni?....
Watu same hang any ilia a aisee! Upinzani wamepoteana, toka chama cha kupinga ufisadi, vimegeuka vyama vya kupinga maendeleo na kutetea wazembe na mafisadi bila kusahau beberus
 
EU tathimini yao ya siku 15 za kampeni Tanzania CCM itashinda si chini ya 81%. Lissu anaenda kuwa mgombea wa upinzani aliye vunja rekodi ya kupata asilimia kidigo tangu nchi hii ingie kwenye mfumo wa vyama vingi. Na hii itaonesha uropokaji na upayukaji bila maarifa si njia sahihi ya kuomba kura.
Ondoa neno EU weka Beberu
 
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya .
Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT imekata upepo na mgombea wao amekimbia kampeni?
Zitto amemjibu kuwa baada ya chama chao kuona wanaelekea kushinda wameamua kuweka nguvu nyingi kumsaidia Membe kuandaa baraza lake la mawaziri ,na hivyo kuwa katika nafasi nzuri kutimiza waliyoahidi siku 100 za kwanza

Basi upo uwezekano mkubwa tu kuwa kuna 'Wanasiasa' hivi sasa wanaugua 'Uwendawazimu' mkubwa ila bado hawajajitambua ili wakatibiwe pia.
 
Inawezekana kweli, membe si ndo alileta system ya kupigia Kura, akili kumukichwa.
 
Watu wakubwa wanafanya mambo makubwa, watu wadogo wanajifunza kuvaa kanzu majukwaani[emoji2][emoji2][emoji2]! JPM 5 tena!
FB_IMG_1600626755684.jpg
FB_IMG_1600626752912.jpg

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Daaah! Amechanganyikiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe ndiyo umechanganyikiwa,majibu ya Zitto mbona clear kabisa. Mnataka mjibu Yale kwamba amejitoa na anamuunga mkono Fulani ili muwatumie Msajili na NEC kufanya yenu.

Unafikiri Lissu alienda bure kwenye mkutano wa ACT,zingine zilikuwa ni diversion tu ili muwaache wote mkitegemea wagawane kura.
 
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya. Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT imekata upepo na mgombea wao amekimbia kampeni?...
Seriously! 😂😂
 
Kuendelea kwa B.M kuna faida nyingi katika kugawa kura kuliko hasara!

Mtakieni kheri tu aendelee! [emoji3][emoji3]
 
Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya. Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT imekata upepo na mgombea wao amekimbia kampeni?...
DUUU🤣🤣🤣

Kumbe Bashiru Katibu mkuu CCM kasema kweli.Hizo ni dalili za mwanzo kabisa na za wazi za kuanza kuokota makopo.
 
Back
Top Bottom