Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
endelea kujua ivo ivo:
Mlitarajia tumsimamishe Membe??na mwisho kabisa, hongereni kwa kumsimamisha lissu, kulikua hamna choice ingine upinzani maanaa ndo aliebaki mwenye ushawishi, ingawa hali ndo ile ile uchaguzi mwaka huu mtapata kura chache zaidi ya mbowe alivogombea, na hakuna mnachoweza kufanya kuokoa jahazi
Wacha tuwachezeshe segere hadi wakome mwaka huuThis is a Game bro. Wachache sana wameuelewa huu mchezo. Pole sana kwa kushindwa kuelewa game yetu.
Hebu jiulize inawezekana kweli mgombea akawa mkubwa kwenye maamuzi kuliko uongozi wa chama chake? Hahahah kazi mnayo MATAGA.
naona zito kaamua kuchekesha watuWakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya.
Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT Wazalendo imekata upepo na Mgombea wao amekimbia kampeni?
Zitto amemjibu kuwa baada ya chama chao kuona wanaelekea kushinda wameamua kuweka nguvu nyingi kumsaidia Membe kuandaa Baraza lake la Mawaziri na hivyo kuwa katika nafasi nzuri kutimiza waliyoahidi siku 100 za kwanza.
Mlitarajia tumsimamishe Membe??
Halima Mdee waziri wa haki za binadamu na mahusiano yasiyo na mipakaNyie inamaana hamjui kuwa Membe anamuandalia Lissu baraza la mawaziri?? Hamjui kusoma basi hata picha? Membe waziri wa mambo ya nje, Lissu Rais, waziri mkuu Mbowe .. Zkk waziri wa fedha, Magufuli waziri wa barabara .. Lema waziri wa mambo ya ndani .. Sugu waziri wa michezo .. Tamisemi Bulaya .. Mdee waziri wa katiba na sheria.. Juma duni waziri wa Elimu .. Spika Kibatala ..kwa wakuu wa mikoa tunambakisha Antony Mtaka wa Simiyu baaasi
This is a Game bro. Wachache sana wameuelewa huu mchezo. Pole sana kwa kushindwa kuelewa game yetu.
Hebu jiulize inawezekana kweli mgombea akawa mkubwa kwenye maamuzi kuliko uongozi wa chama chake? Hahahah kazi mnayo MATAGA.
Wacha tuwachezeshe segere hadi wakome mwaka huu
Lumumba bwanahizi siasa umerukia ukiwa unaangalia kushoto, may your game last forever wakati mnajiandaa kisaikolojia
Siku 100 za kwanza anamwandalia Lissu?.Bomu kabisa, nyie dawa yenu mkose kabisa Oct 28 kila kitu ndio mpate akili vizuri.Wakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya.
Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT Wazalendo imekata upepo na Mgombea wao amekimbia kampeni?
Zitto amemjibu kuwa baada ya chama chao kuona wanaelekea kushinda wameamua kuweka nguvu nyingi kumsaidia Membe kuandaa Baraza lake la Mawaziri na hivyo kuwa katika nafasi nzuri kutimiza waliyoahidi siku 100 za kwanza.
Lissu angegombea ubunge tu, u Rais sio level yake.
Yes, support ya pamoja ingeleta ushindani zaidi dhidi ya CCM. Mfano kwa sasa, Membe hana nguvu ya ushawishi hata kwenye majukwaa ukimlinganisha na Zitto.Mkuu unamaanisha kama Zitto angekuwa mgombea wa ACT na Lissu mgombea wa CHADEMA kwamba upinzani ungepata faida sana?
Mie si msemaji wake ILA kitendawili hiki kimetegwa sawasawa. Ni kama picha ilochorwa kwa kuficha vichwa kibao vinavoonekana na wenye macho na zana toshelezi TOFAUTI na watakaokiona kichwa au bichwa MOJA pekee.
Its complicated!
[/QUOT
Akili kubwa
Hahahaaa kweli duniani kuna mamboWakuu mida hii namsikiliza Zitto Kabwe anafanya mahojiano na Jeff Koinange wa Kenya.
Jeff amemuuliza Zitto kama ni kweli ACT Wazalendo imekata upepo na Mgombea wao amekimbia kampeni?
Zitto amemjibu kuwa baada ya chama chao kuona wanaelekea kushinda wameamua kuweka nguvu nyingi kumsaidia Membe kuandaa Baraza lake la Mawaziri na hivyo kuwa katika nafasi nzuri kutimiza waliyoahidi siku 100 za kwanza.
Mkuu umesikika vyema, sasa je weweza orodhesha hizo dharau angalau mbili?
Mimi naanza na "Baadhi ya Wawaziri wangu ni wapumbavu"
Kumbuka heshima zinatoka pande zote mbili
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app