Uchaguzi 2020 Zitto: Membe hajaacha kufanya kampeni, yuko bize kuandaa Baraza la Mawaziri


Lissu hana lake mbele ya EU. Wamekubali uchaguzi huu kashindwa na ndio maana wengine tumetoa angalizo mapema kabisa. Tusije kusikia tena mara ooh kaibiwa kura, ooh uchaguzi haukuwa wa haki nk, nk.
 
View attachment 1576734

hio imeishaisha mapema, apa tunawaza sasa awe raisi wa milele

Na atakuwa kweli maana maneno huumba. Hapo sijazungumzia sifa zinazo mbeba.

Naona wale watarajiwa wagombea wenu wa Urais awamu ya sita wote mmewapitisha bila kupingwa. Mkaona JPM apingwe na Lissu kwa kumshauri kuvaa kanzu ijumaa.
 
Naona unasaga sumu kama ilivyo jina lako.....usikubali kujipa jina la ajabu utakua wa ajabu pia....maana tangu rais wa malawi ajipachike jina la jiwe amekua jiwe kweli....haambiliki wala kusikia yeye ni yey tu mambo yanaenda mrema amekaa tu
 
Wanasiasa dizaini ya ZZK ndio huwa wanasababisha wananchi kukosa imani na upinzani,yeye angekuwa tu mkweli kwamba wameamua kumuunga mkono TL Kama alivyofanya Maalum Seif
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…