Zitto: Membe karibu upinzani

Zitto: Membe karibu upinzani

Sie tumesomea political science,achana na mahitaji ya moyo wako
ACT kuna mtu anaitwa Juma Duni Haji, ameshafanya kazi na chadema, hawezi kumshauri mwenyekiti wake waungane na matapeli
Sawa, hongera!
 
Chadema hawawezi kumkubali membe hata iweje, huku wao wana chaguo la Mbowe, Lissu au Nyalandu
Suala la ushirikiano kwa vyama limeshapigwa stop, hivyo ACT kivyao na Chadema kivyao. Ila suala la kumpa tiketi ya kugombea Urais mtu aliyekataliwa CCM itakuwa ni political suicide.
 
1593592236634.png

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe, amemkaribisha aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Mwanachama wa CCM Bernard Membe, kuunganisha nguvu kupitia vyama mbadala hii ni mara baada ya yeye kufukuzwa uanachama ndani ya CCM. Taarifa hiyo imetolewa kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter wa chama hicho hii leo Juni 30, 2020, ambapo imeandikwa hivi:

"Ndugu yangu Bernard Membe kafukuzwa uanachama wa CCM, ninajua bado anatetea haki yake ya uanachama huko ni hatua sahihi, hata hivyo muda wa kuleta mabadiliko katika nchi umewadia, ninamsihi afanye maamuzi ya kuunganisha nguvu kupitia vyama mbadala" umeeleza ujumbe huo ambao umetolewa na Zitto Kabwe.
 
Mku kubali au kataa mwakani chama kikuu cha upinzani ni ACT sio tena Chadema

Hakuna kubishana kwenye hilo ACT hawana wagombea ubunge kuwangiza bungeni,chadema pamoja na fitna zote kwa upande wa upinzani itaingiza wabunge wengi bungeni ,ingawa wanaweza wakapungua au kuongezeka but wagombea wa chadema ni wengi na wanakubalika
 
Hakuna kubishana kwenye hilo ACT hawana wagombea ubunge kuwangiza bungeni,chadema pamoja na fitna zote kwa upande wa upinzani itaingiza wabunge wengi bungeni ,ingawa wanaweza wakapungua au kuongezeka but wagombea wa chadema ni wengi na wanakubalika
Shida ya wabunge wetu wa Chadema ilikuwa pale walipoamua kupinga kila kitu hata miradi ya wananchi maji, barabara etc hakuna kitu walisapoti kule Bungeni. Sasa majimboni watasema walifanya nini?
 
Back
Top Bottom