Sawa, hongera!Sie tumesomea political science,achana na mahitaji ya moyo wako
ACT kuna mtu anaitwa Juma Duni Haji, ameshafanya kazi na chadema, hawezi kumshauri mwenyekiti wake waungane na matapeli
Suala la ushirikiano kwa vyama limeshapigwa stop, hivyo ACT kivyao na Chadema kivyao. Ila suala la kumpa tiketi ya kugombea Urais mtu aliyekataliwa CCM itakuwa ni political suicide.Chadema hawawezi kumkubali membe hata iweje, huku wao wana chaguo la Mbowe, Lissu au Nyalandu
Una maarifa sana weweSuala la ushirikiano kwa vyama limeshapigwa stop, hivyo ACT kivyao na Chadema kivyao. Ila suala la kumpa tiketi ya kugombea Urais mtu aliyekataliwa CCM itakuwa ni political suicide.
Mku kubali au kataa mwakani chama kikuu cha upinzani ni ACT sio tena Chadema
Shida ya wabunge wetu wa Chadema ilikuwa pale walipoamua kupinga kila kitu hata miradi ya wananchi maji, barabara etc hakuna kitu walisapoti kule Bungeni. Sasa majimboni watasema walifanya nini?Hakuna kubishana kwenye hilo ACT hawana wagombea ubunge kuwangiza bungeni,chadema pamoja na fitna zote kwa upande wa upinzani itaingiza wabunge wengi bungeni ,ingawa wanaweza wakapungua au kuongezeka but wagombea wa chadema ni wengi na wanakubalika