Zitto na Lissu mko wapi kulaani yanayotokea huko Marekani

Zitto na Lissu mko wapi kulaani yanayotokea huko Marekani

Nilidhani ''watetezi wa haki za binadamu'' wangekuwa mstari wa mbele kulaani yanayotokea Marekani ,bahati mbaya hawayaoni hayo,kisa ni baba yao ndio anayafanya hayo''mazuri'' hayo yangefanyika Tanzania basi ungewasikia Zitto,Lissu,Fatuma na Maria wanaitisha press conference na kulaani kwa nguvu zote na kutaka tuwekewe vikwazo,lakini sasa ni kama hawayaoni,ningewaona wa maana kama wangembwekea bwana mkubwa kwa yanayofanyika hivi sasa huko Marekani,haki ni haki iwe Tanzania,Ulaya Marekani au hata HongKong.
Hii sasa kali, yaani Zitto na Lissu wamekuwa WAMERIKANI ghafla!!!!!!!!!!. watetee yanayoendelea huko, waache yanayowahusu hapa nchini. EEeee mungu tujalia hata akili kidogo tuweze kuwazua
 
Back
Top Bottom