Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa
IMG_20200621_145813.jpg
 
fake comment
Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa https://t.co/8qeMXUL4sView attachment 1485147

Fake news.....

UN yapinga matokeo yanayodai Tanzania ilisaliti Kenya kwa kupigia Djibouti kura
 
Hata kama angepigiwa kura nani. Ni ujinga kutoside na nchi yako unaenda kuside na nchi ambayo haisiti kuihujumu nchi yako kila inapopata chansi.

Tuambiane ukweli.

Cha kwanza ni nchi. Mengine huja baadaye, tuache ujinga.
 
Ila kwa Tanzania kuinyima kura Kenya ni UCHAWI, WIVU WA KIJINGA, VISASI VYA KIPUUZI, NA U MUCH KNOW. Sasa wameshinda ona tunavyojiabisha huku tukiwa watupu!

Eti EAC ni wamoja!
 
Back
Top Bottom