YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
KUNA MKENYA NIMEONGEA NAYE ANACHEKA anasema habari hiyo walikuwa wanawapima watanzania waone kama akili zimo au hazimo wakiwemo wanasiasa wakubwa.Na wamethibitisha kuwa wakiwemo wanasiasa wakubwa akina zitto kabwe akili hawana!!!Watu wako busy kujadili fake news.
Kosovo sio mwanachama wa umoja wa taifa hilo la kwanza kwa hiyo hawezi kupiga kura
cha pili kwenye hiyo ripoti kosovo imeandikwa mara mbili kuonyesha kama nchi mbili za kosovo zipo !!! umoja wa mataifa!!! na zimepiga kura!!!
Zitto kadhibitisha kuwa kuna wanasiasa wanaoitwa nguli Tanzania ni wajinga wa kutupwa akiwemo yeye hajui chochote kuhusu international affairs!!!
.Cheki hapo kosovo asiye mwanachama eti kapiga kura halafu nchi za kosovo ziko mbili!!!