Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

Hivi kumbe UNSC huwa hawapigi kura kwa siri? Mbona nasikia hii doc ni fake? Mm! Ila kama ni kweli basi tumekuwa kigeugeu kweli kweli maana Nov 27, 2019 JPM alimtuma Kabudi kuihakikishia kenya kura ya Tanzania.
Usiwaamini hao majamaa!

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
MK254 hebu leta ufafanuzi, kuna hili bumunda la Lumumba linaleta uzushi hapa
Huyo mkenya ndie mwanzilishi wa huo uzushi unaoonyesha kosovo ziko nchi mbili umoja wa mataifa kwenye hiyo ripoti akina Zitto Kabwe wamefanya kudakia tu bila hata kusoma ku counter check kilichomo huyo mkenya haji ataingia mitini.Kawadanganya wakenya wenzie Tanzania kakwama.Kiripoti chake fake kimekutana na sisi wenye akili watanzania tumegundua Kosovo imeandikwa mara mbili kuonyesha umoja wa mataifa ziko nchi mbili za KOSOVO zilizopiga kura.Ni watanzania wajinga wachache wakiongozwa na Zitto Kabwe ndio wameichukulia juu kwa juu hiyo ripoti kuwa sahihi!!!!


1592683208258.png

Wana CCM ghala la watu wenye akili nyingi kuliko chama chochote na kuliko wakenya ambao walikubali hiyo ripoti feki!!!

CCM TUKO MAKINI
 
Twende na Membe 2020 atuvushe wana ccm wenzetu maana ndiyo chaguo letu wana ccm
Membe muda wake umeshapita, sasa kuna kiazi kipya kabisa cha wana CCM, tupo na Magu, na tunaendelea vyema.

Wenzake wametulia wanakula pensheni yeye bado tu anakesha twitter.
 
Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa https://t.co/8qeMXUL4sView attachment 1485147
Hata Chato kuna wana Chadema, Utachagua Rais sababu ni jirani yako? Ni uhuru wetu kuchagua anayefaa sio anayeshindwa na kikundi kidogo cha Somalia, lazima kuna ulakini hapo. Kwani Kenya ni ndugu yetu, mbona inatushambulia kisiasa na kushindana na siye kwa njia yeyote hata kutuibia mlima Kilimanjaro? Kwani Zitto ni mkenya au Mtanzania? Kwani Djibouti haipo Afrika?
 
UNSC walishathibisha kwamba hii habari iliyosambaa facebook ni feki. Kwa nini sasa thread hii isifutwe na mleta feki news huyu akaadhibiwa?
 
Sisi wana ccm tunamuhitaji Membe tu
Membe muda wake umeshapita, sasa kuna kiazi kipya kabisa cha wana CCM, tupo na Magu, na tunaendelea vyema.

Wenzake wametulia wanakula pensheni yeye bado tu anakesha twitter.
 
Back
Top Bottom