Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

Hivi Huyu “ Yesu” wa chato anasoma bibilia gani?Maana Biblia inasema Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe sasa huyo Jibuti jirani wa nani?
 
Huhitaji kutumia nguvu kujua hii habari ni feki.
Mbona za upande wa pili hawaweki kama kura siyo siri?
Yaani jumla ya kura na roundi ziwekwe, halafu mchanganuo utoke kwa aliyeshindwa tu, wakati tungetegemea aliyeshinda ndo tungepata mchanganuo!
Asisyemjua Zitto...
 
Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa View attachment 1485147
Z
Tuache tabia ya kurukia kila habari hii nii fake news Zitto ujui kosovo sio member wa un
 
Tunashukuru kwakuwa hii habari ni fake. Hata, watu wanaolaumu tusisahau Kenya iliwahi kuwa wanazunguka mataifa kadhaa miaka ya nyuma kushawishi Tanzania isipigiwe kura kuruhusiwa kuuza Shehena ya pembe za ndovu ambazo zilikuwa ghalani
 
Unazidi kuuziilisha ujinga wako
Kwani kura si matakwa ya mtu? Au lazima umpigie flani hata kama ni mbovu kisa ni ndugu yako?

Ndio maana huko act chama kimekuwa kama cha kidini kisa kwa vile Zitto ni muislamu basi anajaza waislamu wenzie?

Na huko chadema ndio maana viti maalumu wanapewa mahawara?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa View attachment 1485147

Wakenya wameshatusaidia wapi? They just want to use us. Tuache siasa za kitoto. Sio kila jirani ni rafiki yako.
 
TAJA SEHEMU AU TUKIO LOLOTE AMBALO KENYA ILIWAHI KUSIMAMA PAMOJA NA SISI TANZANIA,
ZAIDI YA KUTUTUHUMU TUNASAMBAZA KORONA AFRIKA MASHARIKI?
 
Back
Top Bottom