Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

Kuna uzi hapa jamvini wa kuipongeza Kenya kwa kupata hiyo nafasi, lkn cha ajabu wana lumumba wanatoa kashifa kedekede
Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa https://t.co/8qeMXUL4sView attachment 1485147
 
Huo ndiyo ukweli usiyo pingika
Halafu Kenya Kashinda, ila jiwe bwana roho mbaya mpaka anashangaza

Watanzania wanaoishi kenya sijuwi anawaweka ktk hali gani.

Kabudi atakuwa alipewa maagizo na jiwe.
 
Tatizo ni kijicho cha kwanini huyo na siyo sisi
Halafu Kenya Kashinda, ila jiwe bwana roho mbaya mpaka anashangaza

Watanzania wanaoishi kenya sijuwi anawaweka ktk hali gani.

Kabudi atakuwa alipewa maagizo na jiwe.
 
Kwa comment hii unajionyesha ni kiasi gani una roho ya kwanini!
Hata kama angepigiwa kura nani. Ni ujinga kutoside na nchi yako unaenda kuside na nchi ambayo haisiti kuihujumu nchi yako kila inapopata chansi.

Tuambiane ukweli.

Cha kwanza ni nchi. Mengine huja baadaye, tuache ujinga.
 
Kwani kura si matakwa ya mtu? Au lazima umpigie flani hata kama ni mbovu kisa ni ndugu yako?

Ndio maana huko act chama kimekuwa kama cha kidini kisa kwa vile Zitto ni muislamu basi anajaza waislamu wenzie?

Na huko chadema ndio maana viti maalumu wanapewa mahawara?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
AC T wakiingia Ikulu jambo la kwanza ni kuipigia kura kenya
 
Muwache roho mbaya za kwanini wao, dunia inawashangaa sana kwa hiyo roho mbaya

Back
Top Bottom