Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

fake comment

Fake news.....

UN yapinga matokeo yanayodai Tanzania ilisaliti Kenya kwa kupigia Djibouti kura
 
Hata kama angepigiwa kura nani. Ni ujinga kutoside na nchi yako unaenda kuside na nchi ambayo haisiti kuihujumu nchi yako kila inapopata chansi.

Tuambiane ukweli.

Cha kwanza ni nchi. Mengine huja baadaye, tuache ujinga.
 
Ila kwa Tanzania kuinyima kura Kenya ni UCHAWI, WIVU WA KIJINGA, VISASI VYA KIPUUZI, NA U MUCH KNOW. Sasa wameshinda ona tunavyojiabisha huku tukiwa watupu!

Eti EAC ni wamoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…