nipo kwenye high horse gani?Wa ku-chill ni wewe wala sio mimi!
You are so bitter! What's wrong!? This is supposed to be a civil exchange. No need to get all diabolically angry.
Hapa unadharau vitabu as if wewe ndio authority ya wisdom?
Wewe sio political scientist,huna knowledge wala clauts zozote kuhusu political sciences,then kuna watu wenye authority knowledge on it wameandika vitabu wewe upo hapa kudharau wao..which is okay...the question is,wewe una mbadala upi wa mawazo superior zaidi ya kwao?Huna
Haya tusisome tukufuate wewe,una mawazo gani mbadala?Huna
First and foremost.. Sidharau Vitabu.. 🙂 its like you wana fight with someone.. ila sijafit description.. sasa unanitengeneza kwa kunijaza maneno.. I simply warned it's not everything in books was meant for you.. ukishapata taarifa tumia akili yako kufanya vile itakavyokufaa. Hiyo ndio elimu. Kama huwezi kupersonalize information hujaelimika bado.
Wewe ni against democracy,thats clear!Wewe sio pro democracy...Ungekua pro democracy usingesema democracy haifai Africa!
Africans ni wanadamu kama wanadamu wengine wote duniani..Wanataka uhuru,wanataka uhuru wa artistic epxression,wanataka freedom of speech,wanataka haki ya kujilinda yeye binafsi na mali zake,anataka kuchagua kiongozi yeyote anaefikiria kichwani mwake anamfaa....
Sasa hii upumbavu wa kuwatenga Wafrika as if ni binadamu fulani hivi sub standard sababu tu wapo Afrika hawaitaji all these basic human rights,ni usenge...naita usenge kwasababu unatukana our dignity as human beings!
Madiketa ya Africa wewe included,inapofika kwenye neno "democracy" fasta yanaitenga Africa with the rest of the world kwamba tunatakiwa "African Democracy" ili muendeleze dictatorships zenu....Sisi ni watu sawa na wa Ulaya,tunataka true democracy,sio hizo ujinga mnazojisemea eti "african democracy" which is nonsense mnajenga uhalali wa kuendeleza your "African Democracy" which in real sense ni dictatorship!
Demokrasia ambayo unaisema haiwezi kututoa hapa.. narudia tena na nitasema kokote kule.. maana inaleta chaos.. kuna watu wenye Karama ya kuongoza na wasioweza ila kila mtu anataka kuongoza.. kwa mfumo huu unampa kila mtu(hata asiye na Karama ya uongozi) nafasi ya kuongoza.. sio mfumo thabiti.. My quest ni kuona tunakuwa na mfumo kitaasisi kuhakikisha ni kiongozi mwenye Karama na uwezo tu ndiye anayeongoza na sio wanna be likes za akina Trump.
Bro
Democracy ilianza Greece 508 BC...Rome sio Greece wewe pumbu!
Rome ipo Italy,ni tofauti na Greece....Rome ni autocracy sio democracy...stop this nonsense ya kuchanganya mambo!
Rome is NOT Greece!
Ndio maana nasema "Unasikia" ila "Hausikilizi" make deliberate effort to listens and understand... It's like you have voices in your Head ..maana unakuja na vitu ambavyo havikuzungumzwa.
Nimekuuliza wakati Rome Ikitawala Dunia (wakati) kristo Kulikuwa na Demokrasia Duniani!? Kama Demokrasia ilikuwa successful for so many years kwann Roman Empire did not adopt it!?
Tofautisha the origin ya demokrasia traces back to... Na Modern Democracy began! Unaongelea eon years!?
Chaos ipi hasa?Kuuawa watu?Watu wanauwawa kwenye dictatorship..Democracy haijawahi ua mtu!
Chaos ipi unasemea?Watu kulumbana kwenye siasa?Thats perfect feature kabisa...thats what we need!
Hii general term unayotoa "Chaos" you have to explain ni nini?
Maana kwa sisi chaos tunajua ni vifo,watu kuchinjana,watu kuwekana jela,watu kufukazana nchini,etc...Yote hayo hutokea kwenye authoritanism au dictatorship .....
Chaos yako unayoseme naomba uitaje A to Z tuone vituko vya kipumbavu unavyoomaanisha hapa!
Be civil and argue like a grown folk. Matusi mi naona ni kaushamba.. na kuna mahala unakuwa na point ila matusi yanaiundemine.
Chaos ninayoizungumzia ni hii.. una watu milioni 50 wote wanamawazo tofauti na malengo tofauti.. na the biggest task kwao nikufikilia namna gani watawanufaisha watu wa nyumbani mwao.. mawazo yao yako personalized..
Hao watu wakiwa na mtazamo wa kimimi wanaenda kumchagua kiongozi anayetakiwa kubeba maono ya wote milioni 50 huku wakimpima kwa maono ya mtu mmoja mmoja na personal preferences.
Hiyo mgongano wa kimaslahi wa mtu mmoja mmoja unaweza kuwa shida maana resources are scarce and rarely serikali itaweza kufulfill matakwa ya kila mtu.. kinachofuata watakaohisi hawakuhudumiwa wataona uongozi haufai.
Na General public inaanza kujitenga kiitikadi kuzingatia matakwa yao.. wengine watajitenga kupata madaraka na wao ili watimize yale wanayoyaona ni ya msingi kwao.. na sio yale yaliyo ya msingi kwa wote.. as a human race.
Kiongozi bora unamjua wewe unaejifanya una akili..kua kwako na akili hakufanyi sisi raia tusio na akili kua sidelined maana hatuna akili
Na anaeweka watu kwenye madaraja ya akili ni nani?Wewe?Nyie CCM?How do we trust your judgement?
Kua kwako na akili hakutupunguzii sisi wengine kua wanadamu wenye kuhitaji basic human rights
Wewe unataka kuchukua utu na haki na uhuru wa wanajamii wote uweke mikononi mwenu nyie mnaojiita mna "akili"?....
Mmejichagua wenyewe kutoka na mavi yaliyojaa vichwani mwenu na kujipa daraja A la akili na the rest of the citizenry ni daraja Z,then nyie mnajipa madaraka ya kutuchagulia the rest us how to live and whats best for us maana sisi hatuna akili hatujui tukitakacho..
Unaona hii akili zenu zilivyo hovyo?Kuna tofauti gani ya mawazo yako na autocracy?Kwamba wawili wanajisema wana akili wanamua kwa lazima for the rest of 60mil people sababu wao wamejiona wana akili sana tupende tusipende!Hiyo si democracy hiyo ni autocracy na hii ni nonsense!
Ndio definition yako ya "African Democracy" hii...nonsense!
"Wasomi" ni akina nani?
Narudia kuwa na watu objective ni muhimu.. ni kama kuwa na gazeti lisilokuwa na Mhariri.. waandishi wataandika na kuwa everywhere.. ila hawatakuwa na target audience.. kazi ya mhariri ni kumoderate content kufikisha ujumbe kwa targeted group.
Kazi ya wanazuoni, wasomi, wenyebusara na thinkers ni kuhakikisha kunakuwa na continued efforts kuelekea nchi iliyobora zaidi ya jana.. na ikibidi kuwanyima wananchi wembe wasijikate ifanyike hivyo. Lengo sio kufurahishana lengo ni kufanikishana.
"Msomi" by definition kafika la ngapi?
Mwananchi ambae unadai ni "mjinga" achague "msomi" amuwakilishe,huyo mwananchi anajuaje fulani ni msomi?
Haya madaraja ya kipumbavu unayojenga ndio tuanzia kupata matatizo hapa!
Uwezo wa kuongoza wanadamu wenzako hauna uhusiano wa aina yoyote na neno "Msomi"...Hili unalijua
Evil person hana uhusiano wowote na neno Msomi au mjinga....
Hoja yako ya kusema wananchi waelekezwe na wasomi cha kufanya is as dangerous as it gets....
it is so unfortunate kuna wanadamu Tanzania hii kama wewe anaeweza kuweka civilization ya watu milioni 60 kama wajinga na yeye kujichagua kwa his own definion kwamba ndio msomi hivyo ni more deserving to rule over them by force just because alisoma shule na akafanyaga mtihani wa Taifa akapata pass mark ya C!
Simple,wanadamu wote ni sawa....kama una mawazo mbadala ya kutatua shida za wananchi,uza sera zako kwako,wao kwa utashi wao wakishawika wakupe kura zao kwa hiyari yao na sio lazima kwa coercion au intimidation na sio eti wewe ni self annointed "msomi"
Pamoja na mapungufu yake yoooote,democracy is the best solution to organize humans in a fair manner backed up with a very strong constitution...
Autocracy,dictatorship...elitism/usomism nk ni mavi jumlisha mavi kuleta ubaguzi wa kimatako....punguani nyie,na mfe kabisa!