Uchaguzi 2020 Zitto ni kati ya viongozi wanaotakiwa kubebeshwa lawama, kuzomewa na kupuuzwa kutokana na hotuba zake zilizotaka kuvuruga amani wakati wa kampeni

Uchaguzi 2020 Zitto ni kati ya viongozi wanaotakiwa kubebeshwa lawama, kuzomewa na kupuuzwa kutokana na hotuba zake zilizotaka kuvuruga amani wakati wa kampeni

NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR

MWANASIASA Mkongwe Zanzibar, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe, kabla ya kudai kumefanyika maonevu na unyanyasaji, kwanza aileze dunia kiongozi gani wa chama chake aliyewaamrisha wafuasi wake kubeba silaha za jadi na kujiweka tayari kwa mapambano.

Pia amemtaja Zitto ni kati ya viongozi wanaotakiwa kubebeshwa lawama, kuzomewa na kupuuzwa kutokana na hotuba zake zilizotaka kuvuruga amani wakati wa kampeni.

Baraka Shamte, alitoa matamshi hayo jana kisiwani Unguja, kufuatia madai ya Zitto aliyesema kuna watu huko Pemba wameuawa ,kuteswa ,kupigwa na kuumizwa wakati hakuna ushahidi wa matukio hayo na hadi sasa vyombo vya dola havijathibitisha.

Pia alimtaka Zitto asidhani hakuna ushahidi wa matamshi yake alioyatoa kwenye majukwaa ya kisiasa yaliowataka wafuasi wake kuingia mitaani kinyume na sheria ,kuandamana na kupinga matokeo ya Uchaguzi ikiwa chama chake hakitashinda.

“Zitto asicheze ngoma ya wachawi na wanga .Ikiwa anataka kuimba nyimbo za wanga aende ging’ingi akacheze kuliko kuimba mitaani .Asikubali kulishwa uongo na uzushi mdomoni mwake. Maneno yake yenye viashiria vya jinai yapo na iko siku yatawasuta” Alisema Shamte.

Mwanasiasa huyo, alisema Zitto asifikiri wanaoshitakiwa kwenye mahakama za kimataifa ni watawala peke yao badala yake ajue hata viongozi wa upinzani hukabiliwa na mashitaka ikiwa kuna ushahidi au matamshi yaliolenga kuvuruga amani na umoja.

“Mwenyeliti wake Maalim Seif ndiye aliyewataka vijana ACT Wazalendo kubeba mundu, mikuki, mawe, mashoka na mapanga. Akawahimiza wakusanyike kwenye barabara kuu za Michenzani, kuandamana na kupambana na polisi hadi wapewe ushindi ” Alisema.

Aidha kabla ya kutamka maneno hayo, akiwa ziarani kisiwani Pemba mwanzoni mwa mwaka huu ,alisikika akisema wazi wazi mwaka huu liwalo naliwe , kama noma naiwe noma na ikitokea mtu kupigwa au kujeruhiwa asiende polisi badala yake wajibu mapigo.

Shamte alisema Maalim Seif ndiye aliyewaimbisha vijana wa ACT Wazalendo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kibandamaiti huku wakimuitikia hawaogopi lakini pia ndiye aliyepania kutaka kuvuruga uchaguzi kwa kuwataka wanachama wake wajitokeze kupiga kura Oktoba 27 kinyume na sheria.

Alisema zitto anapowaomba marais wastaafu kina Joachim Chisamo,Thabo Mbeki na Ulusegun Obasanjo waje zanzibar au Tanzania huku ni kuwazubaisha na kuwapa matumaini yasiokuwepo wafuasi wao baada ya kushindwa vibaya ikiwemo na yeye kupoteza kiti cha ubunge cha Kigoma mjini.

“Kwanza Zitto ayakumbuke alioyasema kwenye majukwa . Yeye na wenzake ndio waliotaka mapema zitokee vurugu . Asidhani wanaoshitakiwa ni watawala tu bali hata upinzani unapovunja sheria hubeba msalaba wa tuhuma zote zitakazothibitika “Alisisitiza Shamte .

Vile vile alisema hata wakati akitaja idadi ya watu anaodai kujeruhiwa huko pemba kwa kusema kwake uongo alikataa kuwataja watu waliopigwa mapanga msikitini jambo ambalo linathibitisha taarifa ya Zitto ilijaa usanii wa kisiasa anaofundishwa na Maalim Seif.
Kwani huwa wavurugaji wa kweli hamwaoni,hats mjaribu kuwa singizia wengine?Hats ifike mahali haramu mnaiita halali.
 
Kwani Chief! Lengo la kuwa na uongozi ni nini!?

Angela Merkel anaongoza kwa kipindi cha ngapi sasa!? Vipi kuhusuRussia!? What about Japan!?

Kwanini Wingereza wasimkatae Malkia!? Na mfumo wake!?

Kwanini Waarabu hawajawa deemed undemocratic!?

Tunajingoza ili kujiletea mafanikio.. Uongozi sio prestige.. Ni kazi. Sasa Kama unakuwa na kiongozi anayeweza kwanini unataka kubadilisha kila siku!?

Kuwa na mfumo wa kumpima na kumuongezea muda ndio demokrasia yenyewe..

Ukiangalia Hao wanaotaka term limit wakipata hard working and great leaders wanaenda paka 20 years madarakani.. lakini husikii juu ya kuminywa Demokrasia.

Ukiangalia list ya wajapani wengine wanakwenda mpaka terms 4 za uongozi.. Merkel almost 15yrs.. na husikii maswala ya terms limit.. maana their eyes ziko kwenye trophy .. unapimwa kama unaweza hauwezi its one term you go..

At the end tunataka ulichofanikisha na sio how democratic we elected our leaders.. Sasa mchakato wa kuchagua unatufaidia nn kama tuliowachagua hawajatumika vyema!? Na nguvu bado wanazo..na tunabadirisha ili iweje!?

Seriously Lengo la kuwafanya elections ni nini!? Kubadilisha viongozi au kutafuta best candidate!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ya ulaya waachie ulaya,tuoongee yakwetu kulingana na mazingira yetu,hao walisha staarabika kabla ya kuzakiwa kwao ,ila kwa mazingira yetu kunifunza huo ustaafabu tumeshindwa ,ndio maana tunatendeana kama wanyama.
 
Ya ulaya waachie ulaya,tuoongee yakwetu kulingana na mazingira yetu,hao walisha staarabika kabla ya kuzakiwa kwao ,ila kwa mazingira yetu kunifunza huo ustaafabu tumeshindwa ,ndio maana tunatendeana kama wanyama.
Hahaha! Ustaarabu upo wa wila namna! Na kila mahali. Hata huu tulionao huku kwetu ni ustaarabu pia..

Shida ni kutaka kutumia mtihani wa mtaalaa wa Cambridge kwenye shule ya kayumba.. na watoto wakifeli inawalaumu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha! Ustaarabu upo wa wila namna! Na kila mahali. Hata huu tulionao huku kwetu ni ustaarabu pia..

Shida ni kutaka kutumia mtihani wa mtaalaa wa Cambridge kwenye shule ya kayumba.. na watoto wakifeli inawalaumu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama vile kutaka kuhalalisha haramu kuwa kuwa halali.
 
Who cares wewe kua irritated?

I dont care unachofeel,thats your feeling,not mine!

Nimekulisha maneno,tema....hupendi democracy,unataka kusiwe na uchaguzi,sasa sijui what kind of democracy is that nonsense?

Parliamentary and Presidential democracies zote ni democracies..Chagua mojawapo nenda nayo..who cares?

Tunachotaka ni democracy sio dictatorship wala autocracy wala authoritanism...

Chagua any type you want alimradi ni democracy,full stop!

Mengine yakutotaka uchaguzi kafanyie chooni mwenu!

Anaetaka kutuaminisha anajua Kiongozi Mzuri kwa niaba yetu sote ni wewe "msomi"....

Nikakwambia Kiongozi Mzuri ni wako wewe binafsi,usituamulie....Wacha sisi tuamue kwa kura zetu!

Huyo mzuri kutokana na unavyoona wewe,kwenye kura then weka kwenye sanduku,tukihesabu akishinda basi ndio atuongoze,akishindwa basi nendeni mkalime!

Unachokisema hapa eti nafasi ile ile roles zikabadilika...zibadilike tunavyotaka sisi watu milioni 60 na atakaeshinda ndio akafanye hiyo kazi,akifeli ndani ya macho yetu baada ya 5years tunaweka mwingine

Zingine ni blah blah tupu

Wewe ni takataka maana unajaribu kutuletea unachokiona bora wewe kwenye kichwa chako ndio tukipe madaraka

Tushawishi

Hiyo sijui vita,viwanda,sijui nini na nini..tunachagua sisi kwa kura kupitia sanduku...huyo tutakae mpitisha atasimamia yote hayo kwa niaba yetu sio wewe

Akishindwa tutamtoa baada ya 5years tutaweka mwingine atakae tushawishi kwa ideas zake,basi!

Tunawapima,na kujua mzuri na mbaya ni yupi,sawa....baada ya kupima kila mmoja kwenye ubongo wake watu milioni 60 then decision ya kuchagua mmoja tunafanyeje?Tunafanya hiyo decision ya kumchukua mmoja kwa kura kwenye sanduku..

Basi

Mengine unayotuambia hapa ni hadithi za kufikirika tupu!

Acha kujifanya wisdom yako ndio wisdom wanadamu wengine tufuate..

Wewe unaniona natoa hoja za hovyo na mimi nakuona unatoa hoja za hovyo

Unaniona natukana na mimi nakuona unatukana...

Sijui sitoi views,arguments na understanding na mimi nakuona hutoi views,arguments wala understanding zozote..

Wewe kukasirika na my views is none of my business,kasirika pasuka,who cares what you feel on my views?I do not!

Upo katikati ya kazi zako ni zako,nina zangu...keep you kazis for yourself..I dont give a fvck what you do and you dont for what I do here....Kazi zako ni nonsense kwangu na zangu ni nonsense kwako...who cares?

Localize what?Translated knowledge for who?Who cares about all that gibberish?Localize your own shit and translate your own shitty knowledge to your self...Who bothers what you can relate to?Thats your business not mine!

Inashangaza unajitia mavitu yako kichwani kwako kuhusu others any body cares?

Capitalistic Democracy is my cup of tea,thats what I want....its not for you...its for me and those who want it....you want something else....maybe dictatorship-socialism-communism and some other Stalinistic shit,or something?

I dont argue next time,I argue on my time,not by your timing and directions

Be safe yourself
Seek help! You are clearly not okay! No more quotes please!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wewe mwenyewe uko hapa kila siku unalalama tu kuibiwa na huchukui hatua yeyote na ndio kwanza mgombea wako kakimbia?

Si bora wazenji wanakufa, ukiona hadi wamekufa ujue wakijaribu kupambana!

Sasa nyie hapa mmeambiwa andamaneni mkajificha twitter na jf!

Wengine ndio hao wamekimbilia Kenya kisa eti vitisho tu vya kwenye simu?

Kamwe usijifananishe na wazenji wale ni watu na nusu! Siyo nyie manyumbu ya hapo ufipa.
Mkuu, paza sauti hawajakusikia
 
Nafikiri alipaswa kupuuzwa na kuzomewa Bashiru na chama chake maana alisema watatumia dola kubaki kwenye hatamu ! Hao ndio chanzo
 
Back
Top Bottom