mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Sawa ila ninakuhakikishia ipo siku utanikumbuka, we shabikia tu Lissu. Mwenzenu anawachora tu, anawaomba mkaandamane wakati yeye alishapanga kuunda tukio ili akamatwe kisha apate kisingizio cha kuondoka nchini aende kuhifadhiwa nje ya nchi. Si mnafahamau kuwa HAKUNA Mtanzania mwenye hadhi ya kuwa mkimbizi duniani au ulikuwa hujuwi hili? Lissu ni msanii sana na bahati mbaya ana watu wasiojitambua wanamfuata.We ni mpuuzi zaidi yao
Swali. kwanini wengi wanaoshabikia CCM ni choka mbaya kmaisha?Sawa ila ninakuhakikishia ipo siku utanikumbuka, we shabikia tu Lissu. Mwenzenu anawachora tu, anawaomba mkaandamane wakati yeye alishapanga kuunda tukio ili akamatwe kisha apate kisingizio cha kuondoka nchini aende kuhifadhiwa nje ya nchi. Si mnafahamau kuwa HAKUNA Mtanzania mwenye hadhi ya kuwa mkimbizi duniani au ulikuwa hujuwi hili? Lissu ni msanii sana na bahati mbaya ana watu wasiojitambua wanamfuata.
Na wa Chadema mbona ni mambumbumbu sana, kwa nini?Swali. kwanini wengi wanaoshabikia CCM ni choka mbaya kmaisha?
Muulize bibi akoNa wa Chadema mbona ni mambumbumbu sana, kwa nini?
Let's be honest, Aina ya demokrasia tuliyonayo haitaweza kamwe kushinda.nchi ina shida ya demokrasia kufa..lazima akina zitto wafanye linalowezekana kurudisha demokrasia
Awe ameshinda au hajashinda ubunge...lazima kazi ya kurudisha demokrasia ifanyike
Zitto anafanya exactly what is required..
Hayo mambo yako ya kuiba kura na kusema Zitto akalime it shows you have no brain kabisa!
Tatizo kwa sasa ina matatizo makubwa mawili:
1.Demokrasia kufa
2.Udikteta
Yote haya tunaelewana yapo,yeye kushinda au kutoshinda ubunge has nothing to do with these,he has to do anything in his power to address the two problems above!
Zitto is doing the best job for TZ now!
Hacha uwoga wewe KengeMimi siwezi kuandamana na wala sitakuja kuandamana kwa jambo lolote!Mimi ni kati ya wale tulioandamana UDSM 2011 kutaka boom litoke 5000 mpaka 7500 kwa siku enzi za JK!
Tulifanikiwa ila almanusura nikose chuo maana kuna masnitch walikuwa wanajifanya kuandamana kumbe walikuwa wanachukua video na picha za waandamanaji!
Nilijieleza masaa mawili mbele ya displinary council,bahati nzuri nilikuwa na mtu upande wangu akanikingia kifua!Tokea hapo niliapa kutojihusisha na maandamano ya aina yoyote!
Mimi naupenda upinzani na nitaendelea kuikosoa serikali hii ya awamu ya 5 mpaka inatoka madarakani!Ungejua nafasi niliyopo ungeshangaa kwanini naunga mkono upinzani!
So relax,no hard feelings na maisha yanaendelea!
Zito ni miongoni mwa wanasiasa wajinga sana kuwahi kutokea nchiniNA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR
MWANASIASA Mkongwe Zanzibar, Baraka Mohamed Shamte, amemtaka kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe, kabla ya kudai kumefanyika maonevu na unyanyasaji, kwanza aileze dunia kiongozi gani wa chama chake aliyewaamrisha wafuasi wake kubeba silaha za jadi na kujiweka tayari kwa mapambano.
Pia amemtaja Zitto ni kati ya viongozi wanaotakiwa kubebeshwa lawama, kuzomewa na kupuuzwa kutokana na hotuba zake zilizotaka kuvuruga amani wakati wa kampeni.
Baraka Shamte, alitoa matamshi hayo jana kisiwani Unguja, kufuatia madai ya Zitto aliyesema kuna watu huko Pemba wameuawa ,kuteswa ,kupigwa na kuumizwa wakati hakuna ushahidi wa matukio hayo na hadi sasa vyombo vya dola havijathibitisha.
Pia alimtaka Zitto asidhani hakuna ushahidi wa matamshi yake alioyatoa kwenye majukwaa ya kisiasa yaliowataka wafuasi wake kuingia mitaani kinyume na sheria ,kuandamana na kupinga matokeo ya Uchaguzi ikiwa chama chake hakitashinda.
βZitto asicheze ngoma ya wachawi na wanga .Ikiwa anataka kuimba nyimbo za wanga aende gingβingi akacheze kuliko kuimba mitaani .Asikubali kulishwa uongo na uzushi mdomoni mwake. Maneno yake yenye viashiria vya jinai yapo na iko siku yatawasutaβ Alisema Shamte.
Mwanasiasa huyo, alisema Zitto asifikiri wanaoshitakiwa kwenye mahakama za kimataifa ni watawala peke yao badala yake ajue hata viongozi wa upinzani hukabiliwa na mashitaka ikiwa kuna ushahidi au matamshi yaliolenga kuvuruga amani na umoja.
βMwenyeliti wake Maalim Seif ndiye aliyewataka vijana ACT Wazalendo kubeba mundu, mikuki, mawe, mashoka na mapanga. Akawahimiza wakusanyike kwenye barabara kuu za Michenzani, kuandamana na kupambana na polisi hadi wapewe ushindi β Alisema.
Aidha kabla ya kutamka maneno hayo, akiwa ziarani kisiwani Pemba mwanzoni mwa mwaka huu ,alisikika akisema wazi wazi mwaka huu liwalo naliwe , kama noma naiwe noma na ikitokea mtu kupigwa au kujeruhiwa asiende polisi badala yake wajibu mapigo.
Shamte alisema Maalim Seif ndiye aliyewaimbisha vijana wa ACT Wazalendo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kibandamaiti huku wakimuitikia hawaogopi lakini pia ndiye aliyepania kutaka kuvuruga uchaguzi kwa kuwataka wanachama wake wajitokeze kupiga kura Oktoba 27 kinyume na sheria.
Alisema zitto anapowaomba marais wastaafu kina Joachim Chisamo,Thabo Mbeki na Ulusegun Obasanjo waje zanzibar au Tanzania huku ni kuwazubaisha na kuwapa matumaini yasiokuwepo wafuasi wao baada ya kushindwa vibaya ikiwemo na yeye kupoteza kiti cha ubunge cha Kigoma mjini.
βKwanza Zitto ayakumbuke alioyasema kwenye majukwa . Yeye na wenzake ndio waliotaka mapema zitokee vurugu . Asidhani wanaoshitakiwa ni watawala tu bali hata upinzani unapovunja sheria hubeba msalaba wa tuhuma zote zitakazothibitika βAlisisitiza Shamte .
Vile vile alisema hata wakati akitaja idadi ya watu anaodai kujeruhiwa huko pemba kwa kusema kwake uongo alikataa kuwataja watu waliopigwa mapanga msikitini jambo ambalo linathibitisha taarifa ya Zitto ilijaa usanii wa kisiasa anaofundishwa na Maalim Seif.
Usinipangie mfumo wa maisha!Hacha uwoga wewe Kenge
Punguza ulafi.NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR

Chief unanilisha maneno!Sasa mkuu
Wewe unasema democracy haishindi,nimesoma wee post yako labda kuna option mbadala sahihi na ya uhakika naona hujatoa..
Hakuna mfumo duniani mpaka sasa,wenye maana zaidi ya demokrasia!
Hakuna..
Pamoja na mapungufu yake yote,demokrasia na capitalism kwa pamoja ndio best..
Mifumo mingine ni simply does not work,tushaifanya yote,haifanyi kazi kabisa.....
Socialism,ni bure,communism ni bure....serikali mifumo mingine yote haifanyi kazi sio authoritarianism,dictatorship,sijui nini sijui nini,hakuna mfumo sahihi na fair zaidi ya demokraisia ndugu
Kama una mfumo mwingine uweke hapa tuone vioja
Najua upo hapa kutetea authoritanism/dictatorship/single part system ya magufuli.....unachoshindwa kujua ni kua tulikua na huo mfumo tangu mwaka 1961 mpaka 1991,ulifeli vibaya mno mpaka wananchi walikua wanapanga foleni kupewa unga wa ration...Unga wa yanga!
Sukari ilikua ni ration,ukinunua gari unafungwa ni mhujumu uchumi,etc
Mkuu,huwezi nirudisha huko na bwana Magufuli wako..
dictatorship na authoritanism imesababisha vifo vingi duniani zaidi ya demokrasia in a factor of 5....Stalin wa russia aliua watu zaidi ya 30mil....Mao wa China ni zaidi ya watu milioni 60..Mussolin wa Italy ni zaidi ya watu milioni 20...etc etc etc
Demokrasia ni mfumo sahihi maana unaruhusu yeyote kua kiongozi,mzuri au mbaya,na pia unaruhusu kuondoa kiongozi yeyote mzuri au mbaya kwa kura bila kumwaga damu...
Kumtoa dictator au authoritarian leader kwa mfumo wao wa chama kimoja hiyo nguvu wananchi hawana..wakimtoa kwa lazima ndio vifo vinapotokea..ambapo ni hasara kupita maelezo
Madaraka ya wananchi in real sense yapo mikononi mwao..maana baada ya miaka mitano ni lazima wapangue watu kadiri wanavyotaka wao
Msituletee upumbavu wa dictatorship ya magufuli hapa sijui mnaitetea kwa vigezo gani hasa?
Yaani tupo hapa tunashindana eti demokrasia haifai?Like really?
Get off the high horse kwanza, chill na unywe maji!Check and Balances zinapatikana kwenye dictatorship?Magufuli hana check and balances,at all!
Kama ni mfumo huo usio na check and balances kama wa Magufuli,please use it for yourself!
Popular Vote ni chaos unasema hayo wewe kama nani wa kupima hizo chaos?...Ni wananchi wenye nchi yao wameamua kumpa mtu wamtakaye kura ,wewe unaita fujo hivi kama nani?
Kuna watu mmejipa mamlaka ya kuangalia wanadamu wengine wanapotumia utu wao kutoa kura kwa wamtakaye eti wanafanya "chaos"???Hivi hii arrogance ya kuona wanadamu wengine ni chaos wanapo exercise utu wao mnazitoa wapi?
Democracy ni ugly maana inabeba kila kitu,walao ni mfumo wenye kujali kila mwanadamu na moyo wake and it doesnt care huyo mtu ana hali gani unayoona wewe....authoritarians hamuupendi maana ni matakwa ya wenye nchi yao wao kama wao na sio wewe unaejitia unajua sana wakitakacho wao as if una higher grounds morally ku-judge choice yao...
Mkuu una akili timamu kweli?
Demoracy ipo duniani tangu mwaka 508 Before Christ huko Greece halafu unasema miaka 200 tu?Miaka 200 ni juzi tu 1800s!America ambayo democracy ya juzi hapa ina miaka 243...
Upo humu unasema democracy ina miaka 200 hapa duniani?Hivi mzima wewe?Like seriously?
Popular vote na electoral college,na vote sijui ya wapi na wapi zote ni mchakato wa democracy...
Hizo ni namna tu za upigaji kura....democracy feature yake kubwa mojawapo ni "kupiga kura" no matter kwa staili gani....
Yaani upo hapa kujifanya kusema electoral votes ni dictatorship?Kupiga kura,kwa staili yeyote ile ni feature ya democracy...staili gani ya kupiga zina vary country to country...
Dunia nzima wanawake wameanza kupiga kura juzi tu,unataka kusema before that dunia nzima ilikua dictatorship just because wanawake walikua hawaruhusiwi kupiga kura?
You democracy class is in ICU,fanya marejeo zaidi!
Nashindwa kukuelewa....
Unataka tuache democracy tufate dictatorship?
Hii staili za kupiga kura ni nonsense hapa...democracies duniani zinatofautiana katika namna ya kupiga kura,sio issue,issue ni jee wewe unataka tufate nini?
Tusipige kura kabisa,wakina Magufuli wachaguane wao kama wao sisi wananchi tuseme alhamdulilah?
Tulikoishia wapi?
5 years ago Tanzania il;ikua ni the best growing democracy in this region..kaingia ndugu yako kavunja kila kitu...personal freedoms,rule of law,freedom of speech,uhuru wa vyombo vya habari all gone outta window....upo hapa unasema tuendelee tulipoishia halafu eti tuombe Mungu?
Huoni upumbavu wote uliofanya na hii regime kuua all these freedoms ideals unaona sawa?Na ni funny hampendi democracy maana ni equalizer,inawapa nguvu wananchi,wakiwa hawakupendi you are out....hampendi hili...you are all scared na sanduku la kura.....
Tuna tatizo la udikteta,tuna tatizo la democracy....Lissu kaenda Ulaya kuanzisha mapambano upande ule kuja huku...na hawa waliopo nchini wameanzisha humu ndani...
Msituletee upumbavu,,....lazima democratic ideals zirudi,katiba mpya kama ya Kenya,uhuru wa vyombo vya habari,personal freedoms,etc....msituletee upumbavu wenu kabisa
Tutauana sana hapa....
πππππππππ[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona wewe mwenyewe uko hapa kila siku unalalama tu kuibiwa na huchukui hatua yeyote na ndio kwanza mgombea wako kakimbia?
Si bora wazenji wanakufa, ukiona hadi wamekufa ujue wakijaribu kupambana!
Sasa nyie hapa mmeambiwa andamaneni mkajificha twitter na jf!
Wengine ndio hao wamekimbilia Kenya kisa eti vitisho tu vya kwenye simu?
Kamwe usijifananishe na wazenji wale ni watu na nusu! Siyo nyie manyumbu ya hapo ufipa.
Shuttel ya rozari uwezo mkubwa nilishangaa kuikuta dk chache hall six,,,Kawambwa nilimweshimu Sana kea hekima ya kutuliza vuruguMimi siwezi kuandamana na wala sitakuja kuandamana kwa jambo lolote!Mimi ni kati ya wale tulioandamana UDSM 2011 kutaka boom litoke 5000 mpaka 7500 kwa siku enzi za JK!
Tulifanikiwa ila almanusura nikose chuo maana kuna masnitch walikuwa wanajifanya kuandamana kumbe walikuwa wanachukua video na picha za waandamanaji!
Nilijieleza masaa mawili mbele ya displinary council,bahati nzuri nilikuwa na mtu upande wangu akanikingia kifua!Tokea hapo niliapa kutojihusisha na maandamano ya aina yoyote!
Mimi naupenda upinzani na nitaendelea kuikosoa serikali hii ya awamu ya 5 mpaka inatoka madarakani!Ungejua nafasi niliyopo ungeshangaa kwanini naunga mkono upinzani!
So relax,no hard feelings na maisha yanaendelea!
For sure, hayo siyo matatizo ya watanzania!nchi ina shida ya demokrasia kufa..lazima akina zitto wafanye linalowezekana kurudisha demokrasia
Awe ameshinda au hajashinda ubunge...lazima kazi ya kurudisha demokrasia ifanyike
Zitto anafanya exactly what is required..
Hayo mambo yako ya kuiba kura na kusema Zitto akalime it shows you have no brain kabisa!
Tatizo kwa sasa ina matatizo makubwa mawili:
1.Demokrasia kufa
2.Udikteta
Yote haya tunaelewana yapo,yeye kushinda au kutoshinda ubunge has nothing to do with these,he has to do anything in his power to address the two problems above!
Zitto is doing the best job for TZ now!
πππ,ile rozari hatari sana!Tulikuwa tunasema hainaga foleni ile!Shuttel ya rozari uwezo mkubwa nilishangaa kuikuta dk chache hall six,,,Kawambwa nilimweshimu Sana kea hekima ya kutuliza vurugu
Kakimbilia Ubelgiji kupakatwa na wazungu huku akitomaswa makalio.Muulize bibi ako
nipo kwenye high horse gani?Wa ku-chill ni wewe wala sio mimi!
You are so bitter! What's wrong!? This is supposed to be a civil exchange. No need to get all diabolically angry.
Hapa unadharau vitabu as if wewe ndio authority ya wisdom?
Wewe sio political scientist,huna knowledge wala clauts zozote kuhusu political sciences,then kuna watu wenye authority knowledge on it wameandika vitabu wewe upo hapa kudharau wao..which is okay...the question is,wewe una mbadala upi wa mawazo superior zaidi ya kwao?Huna
Haya tusisome tukufuate wewe,una mawazo gani mbadala?Huna
First and foremost.. Sidharau Vitabu.. π its like you wana fight with someone.. ila sijafit description.. sasa unanitengeneza kwa kunijaza maneno.. I simply warned it's not everything in books was meant for you.. ukishapata taarifa tumia akili yako kufanya vile itakavyokufaa. Hiyo ndio elimu. Kama huwezi kupersonalize information hujaelimika bado.
Wewe ni against democracy,thats clear!Wewe sio pro democracy...Ungekua pro democracy usingesema democracy haifai Africa!
Africans ni wanadamu kama wanadamu wengine wote duniani..Wanataka uhuru,wanataka uhuru wa artistic epxression,wanataka freedom of speech,wanataka haki ya kujilinda yeye binafsi na mali zake,anataka kuchagua kiongozi yeyote anaefikiria kichwani mwake anamfaa....
Sasa hii upumbavu wa kuwatenga Wafrika as if ni binadamu fulani hivi sub standard sababu tu wapo Afrika hawaitaji all these basic human rights,ni usenge...naita usenge kwasababu unatukana our dignity as human beings!
Madiketa ya Africa wewe included,inapofika kwenye neno "democracy" fasta yanaitenga Africa with the rest of the world kwamba tunatakiwa "African Democracy" ili muendeleze dictatorships zenu....Sisi ni watu sawa na wa Ulaya,tunataka true democracy,sio hizo ujinga mnazojisemea eti "african democracy" which is nonsense mnajenga uhalali wa kuendeleza your "African Democracy" which in real sense ni dictatorship!
Demokrasia ambayo unaisema haiwezi kututoa hapa.. narudia tena na nitasema kokote kule.. maana inaleta chaos.. kuna watu wenye Karama ya kuongoza na wasioweza ila kila mtu anataka kuongoza.. kwa mfumo huu unampa kila mtu(hata asiye na Karama ya uongozi) nafasi ya kuongoza.. sio mfumo thabiti.. My quest ni kuona tunakuwa na mfumo kitaasisi kuhakikisha ni kiongozi mwenye Karama na uwezo tu ndiye anayeongoza na sio wanna be likes za akina Trump.
Bro
Democracy ilianza Greece 508 BC...Rome sio Greece wewe pumbu!
Rome ipo Italy,ni tofauti na Greece....Rome ni autocracy sio democracy...stop this nonsense ya kuchanganya mambo!
Rome is NOT Greece!
Ndio maana nasema "Unasikia" ila "Hausikilizi" make deliberate effort to listens and understand... It's like you have voices in your Head ..maana unakuja na vitu ambavyo havikuzungumzwa.
Nimekuuliza wakati Rome Ikitawala Dunia (wakati) kristo Kulikuwa na Demokrasia Duniani!? Kama Demokrasia ilikuwa successful for so many years kwann Roman Empire did not adopt it!?
Tofautisha the origin ya demokrasia traces back to... Na Modern Democracy began! Unaongelea eon years!?
Chaos ipi hasa?Kuuawa watu?Watu wanauwawa kwenye dictatorship..Democracy haijawahi ua mtu!
Chaos ipi unasemea?Watu kulumbana kwenye siasa?Thats perfect feature kabisa...thats what we need!
Hii general term unayotoa "Chaos" you have to explain ni nini?
Maana kwa sisi chaos tunajua ni vifo,watu kuchinjana,watu kuwekana jela,watu kufukazana nchini,etc...Yote hayo hutokea kwenye authoritanism au dictatorship .....
Chaos yako unayoseme naomba uitaje A to Z tuone vituko vya kipumbavu unavyoomaanisha hapa!
Be civil and argue like a grown folk. Matusi mi naona ni kaushamba.. na kuna mahala unakuwa na point ila matusi yanaiundemine.
Chaos ninayoizungumzia ni hii.. una watu milioni 50 wote wanamawazo tofauti na malengo tofauti.. na the biggest task kwao nikufikilia namna gani watawanufaisha watu wa nyumbani mwao.. mawazo yao yako personalized..
Hao watu wakiwa na mtazamo wa kimimi wanaenda kumchagua kiongozi anayetakiwa kubeba maono ya wote milioni 50 huku wakimpima kwa maono ya mtu mmoja mmoja na personal preferences.
Hiyo mgongano wa kimaslahi wa mtu mmoja mmoja unaweza kuwa shida maana resources are scarce and rarely serikali itaweza kufulfill matakwa ya kila mtu.. kinachofuata watakaohisi hawakuhudumiwa wataona uongozi haufai.
Na General public inaanza kujitenga kiitikadi kuzingatia matakwa yao.. wengine watajitenga kupata madaraka na wao ili watimize yale wanayoyaona ni ya msingi kwao.. na sio yale yaliyo ya msingi kwa wote.. as a human race.
Kiongozi bora unamjua wewe unaejifanya una akili..kua kwako na akili hakufanyi sisi raia tusio na akili kua sidelined maana hatuna akili
Na anaeweka watu kwenye madaraja ya akili ni nani?Wewe?Nyie CCM?How do we trust your judgement?
Kua kwako na akili hakutupunguzii sisi wengine kua wanadamu wenye kuhitaji basic human rights
Wewe unataka kuchukua utu na haki na uhuru wa wanajamii wote uweke mikononi mwenu nyie mnaojiita mna "akili"?....
Mmejichagua wenyewe kutoka na mavi yaliyojaa vichwani mwenu na kujipa daraja A la akili na the rest of the citizenry ni daraja Z,then nyie mnajipa madaraka ya kutuchagulia the rest us how to live and whats best for us maana sisi hatuna akili hatujui tukitakacho..
Unaona hii akili zenu zilivyo hovyo?Kuna tofauti gani ya mawazo yako na autocracy?Kwamba wawili wanajisema wana akili wanamua kwa lazima for the rest of 60mil people sababu wao wamejiona wana akili sana tupende tusipende!Hiyo si democracy hiyo ni autocracy na hii ni nonsense!
Ndio definition yako ya "African Democracy" hii...nonsense!
"Wasomi" ni akina nani?
Narudia kuwa na watu objective ni muhimu.. ni kama kuwa na gazeti lisilokuwa na Mhariri.. waandishi wataandika na kuwa everywhere.. ila hawatakuwa na target audience.. kazi ya mhariri ni kumoderate content kufikisha ujumbe kwa targeted group.
Kazi ya wanazuoni, wasomi, wenyebusara na thinkers ni kuhakikisha kunakuwa na continued efforts kuelekea nchi iliyobora zaidi ya jana.. na ikibidi kuwanyima wananchi wembe wasijikate ifanyike hivyo. Lengo sio kufurahishana lengo ni kufanikishana.
"Msomi" by definition kafika la ngapi?
Mwananchi ambae unadai ni "mjinga" achague "msomi" amuwakilishe,huyo mwananchi anajuaje fulani ni msomi?
Haya madaraja ya kipumbavu unayojenga ndio tuanzia kupata matatizo hapa!
Uwezo wa kuongoza wanadamu wenzako hauna uhusiano wa aina yoyote na neno "Msomi"...Hili unalijua
Evil person hana uhusiano wowote na neno Msomi au mjinga....
Hoja yako ya kusema wananchi waelekezwe na wasomi cha kufanya is as dangerous as it gets....
it is so unfortunate kuna wanadamu Tanzania hii kama wewe anaeweza kuweka civilization ya watu milioni 60 kama wajinga na yeye kujichagua kwa his own definion kwamba ndio msomi hivyo ni more deserving to rule over them by force just because alisoma shule na akafanyaga mtihani wa Taifa akapata pass mark ya C!
Simple,wanadamu wote ni sawa....kama una mawazo mbadala ya kutatua shida za wananchi,uza sera zako kwako,wao kwa utashi wao wakishawika wakupe kura zao kwa hiyari yao na sio lazima kwa coercion au intimidation na sio eti wewe ni self annointed "msomi"
Pamoja na mapungufu yake yoooote,democracy is the best solution to organize humans in a fair manner backed up with a very strong constitution...
Autocracy,dictatorship...elitism/usomism nk ni mavi jumlisha mavi kuleta ubaguzi wa kimatako....punguani nyie,na mfe kabisa!
Kwani Chief! Lengo la kuwa na uongozi ni nini!?Brother,democracy ni government by the people and for the people!
Simple!
Hakuna definition ingine!
Mazingira yetu yapi?Yataje!
Sijui huelewi nini hapo?.....Ni uongozi uliochaguliwa na wananchi na unafanyakazi kwa ajili ya hao wananchi,BAAAASSSSSIIIIIII!
Mazingira sijui unayotoa wapi?
Ni aidha unafata democracy au hufati,basi!
Feature muhimu ya democracy ni kupiga kura,dizaini ya kupiga kura ni nyingi chungu nzima,chagueni mnayotaka alimradi ni wananchi wanapiga hizo kura na sio eti "sisi wasomi" tu!
Hiyo democracy special unayotaka ya Africa hivi ipoje?Nipe 5 features ya hicho unachoita "African Democracy" ....anza,1,2,3.....5!