Uchaguzi 2020 Zitto ni kati ya viongozi wanaotakiwa kubebeshwa lawama, kuzomewa na kupuuzwa kutokana na hotuba zake zilizotaka kuvuruga amani wakati wa kampeni

Kwani huwa wavurugaji wa kweli hamwaoni,hats mjaribu kuwa singizia wengine?Hats ifike mahali haramu mnaiita halali.
 
Ya ulaya waachie ulaya,tuoongee yakwetu kulingana na mazingira yetu,hao walisha staarabika kabla ya kuzakiwa kwao ,ila kwa mazingira yetu kunifunza huo ustaafabu tumeshindwa ,ndio maana tunatendeana kama wanyama.
 
Hahaha! Ustaarabu upo wa wila namna! Na kila mahali. Hata huu tulionao huku kwetu ni ustaarabu pia..

Shida ni kutaka kutumia mtihani wa mtaalaa wa Cambridge kwenye shule ya kayumba.. na watoto wakifeli inawalaumu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama vile kutaka kuhalalisha haramu kuwa kuwa halali.
 
Seek help! You are clearly not okay! No more quotes please!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kule Pemba ilisomwa albadiri juu ya masuala ya uchaguzi, sijui imempata nani mpaka leo.
 
Mkuu, paza sauti hawajakusikia
 
Nafikiri alipaswa kupuuzwa na kuzomewa Bashiru na chama chake maana alisema watatumia dola kubaki kwenye hatamu ! Hao ndio chanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…