eliesikia
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 787
- 758
Nimesikiliza Press conference ya Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Mhe Zitto leo na kukubaliana na hoja za wengine kuwa Zitto is a well informed person na yuko vizuri sana kuelezea. Ripoti ya 1.5 Trln ni moto sana.
Sikiliza hapa.
Go Zitto. Mie naamini huyu jamaa atatusaidia sana nchi hii iongozwe vizuri. He can check and balance the governance kwa kuhoji.
Zitto usikate tamaa. Nchi ili inyooke lazma checks and balance kutoka kwa watu makini. Hainyooki kwa maamuzi ya mtu mmoja bali ya kitaasisi ili kila jambo zuri liweze kudumu.
Ikumbukwe pia hii ni mara ya kwanza namkubali Zitto na kumsifia baada ya kumfuatilia muda mrefu sana. Vitu vingi niliaminishwa dhidi ya Zitto bila ya mie kuchanganya na zangu. Wengi tumekuwa tunasikia vitu na kurukia kirahisi bila dhana halisi ya "kujifikirisha" na kuamua. JK alisema hatukuwa tunachanganya na zetu.
****updates*****
Mwalimu alishawahi kusema....