Zitto ni mtu makini sana

Zitto ni mtu makini sana

Zitto na Lissu ndio wanasiasa wa upinzani walioamua kupambana na huu utawala kwa gharama yoyote ile.
 
Umakini wake utakamilika atakapo kamilisha shepe la mwisho kuifukia chadema kaburini ndipo mtakapomjua vizuri madhumuni yake ya hiyo tr 1.5
Kuna watu wengine ni kama wlikufa wakati wa vita ya majimaji halafu unamfufua siku moja kasha unaomba ushauri wake kuhusu hali ya kisiasa nchini. Utapata mawazo kama ya huyu Kipara ngoto!
 
Zito anajua kuchezesha karata 3 ni makini kuona wapi awazungushe ila sehemu 1 tu aliwahiwa na kukwama kwa muheshimiwa mbowe mtoto wa mjini ( CHADEMA ) walimgundua mapema wakamuwahi sasa anacheza na washamba atawasumbua saana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Zitto ulianza kumsikia ukiwa mdogo yaan 2005 maana yake hujawahi kumsikia Mwenyekiti wa a Chadema Mwingine zaid ya aliepo Segerea maana Kaanza Kuwa Mwenyekiti Miongo kadhaa iliyopita
Hao ndio wale watoto wa miaka ya 90. wanaanza kutembea ndio wakati ule Mwalimu Nyerere anaaga dunia.
 
Back
Top Bottom