Mafisadi na majizi hayataki kusikia hoja hizimtu makini, ila kwa sifa hizi tumuongezee ulinzi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafisadi na majizi hayataki kusikia hoja hizimtu makini, ila kwa sifa hizi tumuongezee ulinzi!
Ndio utamuongelea kwasabb Yuko upinzani but Hana miaka kuzidi 15 kwenye siasa.Rebbeca ni kibibi,tehe tehe ,basi tu....nilikua nataka kusema yuko muda mrefu kwenye game ya siasa,leo ukiongelea upinzani wa Tanzania huwezi kumsahau ZZK
Zitto nimeanza kumsikia nikiwa mdogo,yupo upinzani tangu Enzi hizo..yupo consistent..hongera na keep on fighting zitto!
Aligomea hongo ya teuzi kuwa waziri, hana njaa km Mkurya wa dar aliyepewa cheo Kwa kutukana upinzaniZitto akili kubwa, ndo ukweli hata kama inawauma wavumilie tu ndugu zangu upande wa pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto nimeanza kumsikia nikiwa mdogo,yupo upinzani tangu Enzi hizo..yupo consistent..hongera na keep on fighting zitto!
Ndio utamuongelea kwasabb Yuko upinzani but Hana miaka kuzidi 15 kwenye siasa.
Sema ni mtu makini, anapenda Sana kusoma na Mwl wake Prof osoro alimpika vilivyo
Kama Zitto ulianza kumsikia ukiwa mdogo yaan 2005 maana yake hujawahi kumsikia Mwenyekiti wa a Chadema Mwingine zaid ya aliepo Segerea maana Kaanza Kuwa Mwenyekiti Miongo kadhaa iliyopita
Unamkubali sana eeh ? Je, utapenda aje kuwa Raisi wako wa miaka michache ijayo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
You deserve the best bwana: Jinsia, wanawake na watoto utafaa.ningependa awe Raisi ila kama ataniahidi atanipa wizara ya kupika visheti na kalimati.. 😉😉😉😀😀😀😎😎😎
Umakini wake utakamilika atakapo kamilisha shepe la mwisho kuifukia chadema kaburini ndipo mtakapomjua vizuri madhumuni yake ya hiyo tr 1.5
Wewe nawe ndio umechangia nini sasa kijani mna kazikazi kweli.Umakini wake utakamilika atakapo kamilisha shepe la mwisho kuifukia chadema kaburini ndipo mtakapomjua vizuri madhumuni yake ya hiyo tr 1.5
Mtu Makini hawezi kuiba Siri Za Chadema Na kuzipeleka usalama wa Taifa
Mtu Makini hawezi kuuza Majimbo ya Chadema 2010
Mtu Makini hawezi kufukuzwa uanachama Chadema
Labda tufanye Kwa kiswahili ili kuepusha you know nyingiHatuangalii hayo kwa sasa, kama Slaa kaenda ccm ujue siasa zimebadilika. Ni hivi 2020 Zitto tunampa nafasi ya kugombea urais kwa upinzani. Mdahalo wa kwanza wa amsha amsha wa marais ni kwa kiingereza, asikimbie mtu. Petro alimkana Yesu akasamehewa itakuwa Zitto? Andaeeni SMG za kutosha.
Hawa wanaomsifia, kesho watamponda. Mark my words.
Kiswahili utakua mdahalo wa pili. Huko bungeni huwa tuona wagombea wa ubunge wa bunge la East Africa wakihojiwa kwa kiingereza kisa eti hilo bunge kiingereza kinatumika sana. Je kwenye nafasi ya urais kiingereza sio ndio kwenyewe?
Well said brother mbona mnajulikana muda wenu wa kufukuzia ikulu wala hamjali ni rejea ya 2015 mlipomfua fisadi papa mliemchafua kwa miaka nane ghafla akageuka hakuwahi kuwa kiongozi wala kufanya kazi nchi ila katokea sayari ya mars,hatushangai kwa zitto kutoka msaliti mpaka malaika kazi mnayo nyani akitaka kufa kila mti anao uparamia unateleza!Hatuangalii Zitto yuko wapi bali anasimamia nini kwa sasa. Kama alipokelewa Lowassa ambaye hajawahi kuwa mpinzani toka dunia hii kuumbwa itakuwa Zitto ambaye hajawahi kumiliki kadi ya ccm? Ni hivi Zitto ndio anaweza kuwa rais bora wa nchi hii. Yeye ataleta maendeleo ya kweli ya watu na sio vitu, na wakati huohuo ataheshimu demokrasia. Yule anayesema hawezi kutii demokrasia ndio alete maendeleo ya mikopo akae pembeni wenye uwezo waongoze. 2020 Zitto ndio mgombea sahihi wa nafasi ya urais kwa tiketi ya upinzani, anamudu midahalo na ana uwezo wa kuongea na kueleweka. Anaijua nchi hii na changamoto zake, anafahamu siasa za dunia. Na ana sifa ya ziada ya kufahamu kiingereza.