Zitto ni mtu makini sana

eliesikia

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
787
Reaction score
758
Nimesikiliza Press conference ya Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Mhe Zitto leo na kukubaliana na hoja za wengine kuwa Zitto is a well informed person na yuko vizuri sana kuelezea. Ripoti ya 1.5 Trln ni moto sana.
Sikiliza hapa.

Go Zitto. Mie naamini huyu jamaa atatusaidia sana nchi hii iongozwe vizuri. He can check and balance the governance kwa kuhoji.
Zitto usikate tamaa. Nchi ili inyooke lazma checks and balance kutoka kwa watu makini. Hainyooki kwa maamuzi ya mtu mmoja bali ya kitaasisi ili kila jambo zuri liweze kudumu.

Ikumbukwe pia hii ni mara ya kwanza namkubali Zitto na kumsifia baada ya kumfuatilia muda mrefu sana. Vitu vingi niliaminishwa dhidi ya Zitto bila ya mie kuchanganya na zangu. Wengi tumekuwa tunasikia vitu na kurukia kirahisi bila dhana halisi ya "kujifikirisha" na kuamua. JK alisema hatukuwa tunachanganya na zetu.

****updates*****
Mwalimu alishawahi kusema....
 
Huyu ndo 'presidential material'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umakini wake utakamilika atakapo kamilisha shepe la mwisho kuifukia chadema kaburini ndipo mtakapomjua vizuri madhumuni yake ya hiyo tr 1.5
 
Lissu na Zitto hawa watu ni viongozi kweli kweli; wana upeo mkubwa mno.

Ukija kwenye masuala ya maslahi ya Taifa daima wapo mstari wa mbele kutetea tena kwa hoja ambazo zinajitosheleza.

Mungu wape maisha marefu, Tanzania inawahitaji.
 
Umakini wake utakamilika atakapo kamilisha shepe la mwisho kuifukia chadema kaburini ndipo mtakapomjua vizuri madhumuni yake ya hiyo tr 1.5
😂😂😂😂 Huo wivu sasa. Usiteseke!!
 
Ila hawa waandishi wana safari ndefu. Anapewa nafasi ya kuuliza swali anauliza kama kesi imesha funguliwa au bado
 
Ila hawa waandishi wana safari ndefu. Anapewa nafasi ya kuuliza swali anauliza kama kesi imesha funguliwa au bado
Mi huwa naumwa kukuwa na issue nikitegemea hawa wanaojiita waandishi wa habari kuuliza maswali.hivi kuna nini huko? Huwa simkubali sana ZZK ila leo kanikosha maana haya mambo baba wa Taifa aliyapigia kelele sana kuwa tuwe na kizazi cha vijana wanaoweza kuhoji sasa ZZK kiukweli anawakilisha minds za Taifa kiufupi katendea hakia ubunge wake
 
Zitto nimeanza kumsikia nikiwa mdogo,yupo upinzani tangu Enzi hizo..yupo consistent..hongera na keep on fighting zitto!
Duh!!! Yaan ulivyoandika utadhan zzk ni wa enzi za sokoine ama akichelewa Sana tuntemeke.
Rebecca we ni mdogo hivi kumbe??
 
Duh!!! Yaan ulivyoandika utadhan zzk ni wa enzi za sokoine ama akichelewa Sana tuntemeke.
Rebecca we ni mdogo hivi kumbe??

Rebbeca ni kibibi,tehe tehe ,basi tu....nilikua nataka kusema yuko muda mrefu kwenye game ya siasa,leo ukiongelea upinzani wa Tanzania huwezi kumsahau ZZK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…