Zitto ni mtu makini sana

Zitto ndiyo team captain wa upinzani kwa sasa, ni kiungo mchezeshaji, anahaha uwanja mzima kama Zizzou.
Kudos sana Zitto endelea kupeleka mashambulizi kwenye timu ya Jiwe, kwa mashambulizi haya Jiwe mbona atakaa tu!!
 
Akizingua anapewa kubwa yake na hata yeye anafahamu hilo. Hapa hakuna sifa za kudumu bali tuna maslahi ya kudumu. Slaa alikuwa anasifiwa sana na wapinzani, muambie leo atokee anaongea kama atapewa support ya enzi hizo na wapinzani.
Exactly. Zitto, Tundu Lissu and the rest ni suala LA muda tu kabla hawajawa kama Slaa.
 
Nikweli japo nayeye si wakumwamini asilimia mia,dakika yoyote anakutelekeza
 
Issue kaitetea vema ila wasiwasi unakuja pale anapotuhumiwa kuwa yeye na prof ni.wajamaa kwenye NSSF kitengo kilichokutwa na madudu wakati ZZK akiwa kamati yake imekuwa domo zege ndo wazalendo halisi tunapobaki na doubts nae
 
Sikuwahi kuunga mkono Lowassa kugombea urais kupitia upinzani,lakini sina shaka na uwezo wa Zitto na hasa kwa ticket ya upinzani. Hata kama hana sifa ya uadilifu sana lakini kama kipimo chake ni Magufuli basi ni msafi na ana uwezo kuliko Magufuli.
 
Exactly. Zitto, Tundu Lissu and the rest ni suala LA muda tu kabla hawajawa kama Slaa.

Hiyo ndio salama ya Magufuli na ccm kwani uwezo wa kushindana na hao watu wakiwa upinzani hawana.
 
QUOTE="Escrowseal1, post: 30012768, member: 264660"]Issue kaitetea vema ila wasiwasi unakuja pale anapotuhumiwa kuwa yeye na prof ni.wajamaa kwenye NSSF kitengo kilichokutwa na madudu wakati ZZK akiwa kamati yake imekuwa domo zege ndo wazalendo halisi tunapobaki na doubts nae[/QUOTE]

Kama magufuli ameweza kuwa rais na kashfa alizonyooshewa kidole, basi Zitto ni malaika kwenye mizani.
 
Sikuwahi kuunga mkono Lowassa kugombea urais kupitia upinzani,lakini sina shaka na uwezo wa Zitto na hasa kwa ticket ya upinzani. Hata kama hana sifa ya uadilifu sana lakini kama kipimo chake ni Magufuli basi ni msafi na ana uwezo kuliko Magufuli.
Wakati ndio utakaoamua!
 
Umetoa mawazo yako na tunayaheshimu pia hayo mawazo na kamwe hautasikia ukitwa ktk kamati ya kinga na maadili ujieleze kwa kutoa kwako mawazo yako
Mtu Makini hawezi kuiba Siri Za Chadema Na kuzipeleka usalama wa Taifa

Mtu Makini hawezi kuuza Majimbo ya Chadema 2010

Mtu Makini hawezi kufukuzwa uanachama Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu Makini hawezi kuiba Siri Za Chadema Na kuzipeleka usalama wa Taifa

Mtu Makini hawezi kuuza Majimbo ya Chadema 2010

Mtu Makini hawezi kufukuzwa uanachama Chadema
Wewe! Za kuambiwa changanya na zako. Huo ni uongo, hadi leo hujajua tu kuwa huo ulikua ni uongo?. Hai waliotunga uongo huo leo hii wanajutia kutumika bila kujua.
 
Mtu Makini hawezi kuiba Siri Za Chadema Na kuzipeleka usalama wa Taifa

Mtu Makini hawezi kuuza Majimbo ya Chadema 2010

Mtu Makini hawezi kufukuzwa uanachama Chadema
Hoja zake kwenye hii press conference juu ya Mbwembwe za Ndugai vs CAG umezisikia?
Nini maoni yako?
 
Kwa hiyo Zitto Kawasamehe kwa kumzulia uongo?
 
Kwa hiyo Zitto Kawasamehe kwa kumzulia uongo?

Amamsamehe Nani wakati unamuona anajirudisga kiaina baada ya kujua chama chake hakibambi? Zitto hana ujanja zaidi ya kuitegemea cdm au vipi aende ccm kabisa lakini huko ACT hataboi. Alichofanyiwa wakati ule ni ukweli, JK na Mwigulu ndio walikuwa wanamtumia wakadhani akiondoka cdm itakufa. Lakini kaondoka kajikuta na watu wa kugoma tu, so hana ujanja zaidi ya kupiga Uturn.
 
Mkuu huyu mtu ZZK ni MAKINI sanaa.
 
Makamanda wamewekeza mategemeo Yao kwa waliyemfukuza kwa kashfa mbali mbali.

Zito ilimbidi kufungua kesi mahakamani ili kutetea ubunge wake, lakini makamanda hawakujali, waliishia kumkebehi.
 
Sasa Mtu Mwenye historia ya kutumika Mie naanzaje kumuamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…