Kuna watu wengine ni kama wlikufa wakati wa vita ya majimaji halafu unamfufua siku moja kasha unaomba ushauri wake kuhusu hali ya kisiasa nchini. Utapata mawazo kama ya huyu Kipara ngoto!
Zito anajua kuchezesha karata 3 ni makini kuona wapi awazungushe ila sehemu 1 tu aliwahiwa na kukwama kwa muheshimiwa mbowe mtoto wa mjini ( CHADEMA ) walimgundua mapema wakamuwahi sasa anacheza na washamba atawasumbua saana.
Kama Zitto ulianza kumsikia ukiwa mdogo yaan 2005 maana yake hujawahi kumsikia Mwenyekiti wa a Chadema Mwingine zaid ya aliepo Segerea maana Kaanza Kuwa Mwenyekiti Miongo kadhaa iliyopita