Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tuambie huo Ubinafsi wake.Mbinafsi huyu..
Bara inafaa iwe CHADEMA.Kama zenji ni ACt bara iwe chama gani hebu afafanue
granted, lakini siyo Membe please.Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.
itakapofika 2025, Membe atafanya kama alivyofanya leo huyu wa UKAWA...granted, lakini siyo Membe please.
kama siyo Lissu basi awe hata Zitto aisee.
cc Zitto John Mnyika CHADEMA ACT Wazalendo
Tuambie huo Ubinafsi wake.
Akirudi Kissu atasimama kama mgombeaNa huyo mgombea mmoja lazima atoke ACT-Wazalendo I guess, as per Zitto’s point of view
Kwa vyovyote vile itakuwa, kwa mazingira yeyote yale yatakuwa, ni muhimu na lazima Vyama makini vya Upinzani kuweka Mgombea mmoja wa Urais wa Muungano, Urais wa Zanzibar, Kila Jimbo la Uchaguzi la Ubunge na Uwakilishi na kila Kata ya Udiwani. Nimezunguka Vijijini, CCM INANG’OKEKA-Zitto Kabwe on twitter.